Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

Ukisikiliza kwa makini suala linaihusu Zanzibar. Msisitizo haupo kwenye kufanya maamuzi kama collective body. Msisitizo upo kwenye hii ni nchi yenye muungano wa serikali mbili. Zote zipo sawa. Suala hapo kuna maslahi ya Watanganyika yapo rehani. Hili koti kuna siku litakua gumu mno kulivaa.
me ndio napasubiria hapo.
 
Huyu mama nchi imemshinda,sijui sera yake ni ipi kwa sasa tunaenda enda kama vipofu
 
Mojawapo ni hii huko kwa Biden ya Uzenj/Ukojani na ubara sijui time will tell.
P-IMG-20221003-WA0039.jpg
 
Dikteta alivuruga Nchi, acha mama aweke Mambo sawa,

Nyie misukule ya dikteta mkafie mbele huko
Huwa nafurahi sana nikiona yule mpumbafu anapondwa humu.

Kipindi chake tulikuwa haturuhusiwi kumsema hata alipokuwa akijinyea kwenye kupiga pushups wakati wa campaign 2015
 
Nafikiri ungemuonea huruma huyu mama yako maana kila analogusa holaa
Wewe bakia na hizo ndoto, Nchi inasonga mbele na fursa zimefunguka, wakandarasi binafsi sasaivi shavu, na sisi wafanyabiashara sasaivi hatuna presha Kama enzi za dikteta bwana yule, Sasa wewe tangu mfiwe na mungu wenu mpo bize na chuki kwa Rais ,wenzenu tunatusua pesa kwenye fursa

Hapa tunasubiria fursa ya ujenzi wa bandari bagamoyo, wajanja tushawai maeneo ya karibu na mradi
 
Peace be with you all,

Wameshaanza kuvutana mawigi huko, ni mwendo wa kuchambana na kununiana.

Mulamula alipoenda kwa Biden akajiona yuko juu ya Maushungi ghafla kujimwambafai na mashauzi kwa boss wake, Maushungi akamind na kutuma vijembe vya chini chini aise Mulamula akajibu mambo yakawa mambo.

Wakawa kama wake wenza duuu Maushungi si akaamua kumtumbua Mulamula, na bishosti akaamua kumtupia mamikoba yake asee kuwaangalia wanawake na vitimbi vyao ni burudani tosha.
 
Kuna Thread Humu Itabiri Mabadiliko Madogo Ya Nafasi Tatu Yameanza Sasa
 
Wa kumlaumu ni mwendazake,
Angetuachia kaka mtu
 
Huwa nafurahi sana nikiona yule mpumbafu anapondwa humu.

Kipindi chake tulikuwa haturuhusiwi kumsema hata alipokuwa akijinyea kwenye kupiga pushups wakati wa campaign 2015
Mh! mbona humu Jf watu walikuwa wanamsema sana tu mkuu.
 
Back
Top Bottom