MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
me ndio napasubiria hapo.Ukisikiliza kwa makini suala linaihusu Zanzibar. Msisitizo haupo kwenye kufanya maamuzi kama collective body. Msisitizo upo kwenye hii ni nchi yenye muungano wa serikali mbili. Zote zipo sawa. Suala hapo kuna maslahi ya Watanganyika yapo rehani. Hili koti kuna siku litakua gumu mno kulivaa.