Kwenye kiingereza, kuna neno kama 'what do you do?" Na maana yake nini?

You are both right,kama unataka kumaanisha unaishi kwa kazi gani basi lazima hilo neno la mwisho (for a living) liwepo! Otherwise litamaanisha jambo au mambo tofauti na kile unacholenga.
Yeye alisema "what do you do" kumaanisha kitu alichokifanya mtu muda huo, ndio nikamrekebisha, basi ikawa nongwa, acha tu
 
What do you do? Huwa unafanya nini? Hii in always, often, regular, sometimes n.k

What are you doing " unafanya nni wakati huu ninapoongea au umepanga kufanya nini muda mchache ujao

Ikiwa kutakuwa na now in sasa ikiwa in muda mfupi ujao utatajwa m.f what are you doing in the evening? Maana yake umepanga kufanya nini jioni ya leo?
 
Katika mabishano yetu, huyu hakuwa akimaanisha kinachofanyika kwa mwendelezo bali mara moja, na akawa anatumia "what do you do"
 
You are both right,kama unataka kumaanisha unaishi kwa kazi gani basi lazima hilo neno la mwisho (for a living) liwepo! Otherwise litamaanisha jambo au mambo tofauti na kile unacholenga.
Yeye alitaka kumaanisha jambo alilofanya mtu kwa muda huo na si kwa muendelezo, na ndii nikabisha kwamba si 'what do you do', ila ni 'what are you doing?'
 
Yye ndo atakuwa haelewei alichokuwa anamaanisha ktk muktadha huo...how do you do huwa tunaitumia kwa watu ambao hamfahamiani...for the first time Salamu inayotumika ni Sawa na Hi..
Ungejibu how do you do too....nifikiri hivyo
 
What do you do(for A LIVING) kiswahili rahisi unafanya shughuli gani(kazi gani)
Kwa kuongezea tu utumika kumwuliza mtu ambaye ndiyo mara ya kwanza mmekutana na kufahamiana au hata kama mnafahamiana siku nyingi lakini ni muda mrefu umepita bila kukutana hivyo unamwuliza ili kujua kwa wakati huo anafanya shughuli gani ili kuendesha maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…