Kwa nyongeza ukitoa maneno ya nyongeza for a living.
Inabaki na maana" huwa unafanya nini" hii ni simple present ya" what are you doing" ambayo inareflect muda huu
lugha ina mawanda mapana zaidi ya hapo hata hiyo simple present unayosema. sentensi zifuatazo ni simple present tense lakini matumzi ni tofaut/ Jaribu kutafsiri
Bilget arrives in Dar tomorrow
He owns Microsoft Corporation
Water boils at 100 degree celcius
I leave home for work at 5am
Kichuya passes the ball to Boko. OKwi, Okwi, he shoots Goo!aal
Chunguza hizo senyensi zote ziko katika mtindo wa present simple hebu eleza umegundua nini