Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kwenye kila shule kuna yule mwalimu mnokoo, shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani!?

Mtaje.

Cc Zero IQ
 
Kuna mmoja tulikuwa tunamwita jesus kwa sasa ni marehemu alikuwa st. Anthony's mbagala
 
Mwl Godfrey a.k.a kishingoo au catalyst....kisesco moja hiyo
 
Back
Top Bottom