mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,582
- 4,378
nilimaliza 99 jamaa alikuwa hatumii fimbo zaidi ya vichura chura na mazoezi mengine.Hahaahaaa mkuuu ulipita pale nini?.
Kuhusu yule ticha hata sijui kama bado yupo au la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilimaliza 99 jamaa alikuwa hatumii fimbo zaidi ya vichura chura na mazoezi mengine.Hahaahaaa mkuuu ulipita pale nini?.
Kuhusu yule ticha hata sijui kama bado yupo au la.
Salamu zao litapwasiMwalimu chilewa mpitimbi primary school SÖNGEA huko
Hahaaahaaaanilimaliza 99 jamaa alikuwa hatumii fimbo zaidi ya vichura chura na mazoezi mengine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wachokozimwalimu john
Rais wa sasa
Mkuu wakunyumba nnKwa akina Wolfram Mlelwa
Zmefika hadi mkurumusi namatuhi lipaya had likuyu fusiSalamu zao litapwasi
Uzi tayari Mkuu...Kwenye kila shule kuna yule mwalimu mnokoo, shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani!?
Mtaje.
Cc Zero IQ
Saivi maisha safi na usafiri anaomsoka snichi sana yule jamaa hivi sasa hivi amenenepa hata??? coz alikua snichi sana enzi zetu 2003-2000 huko
Happo humkosi Ndyamukama, Mkisi na Masemere pande za Jitegemeee ilikuwa mtiti.
Umemsahau mtokambaliHappo humkosi Ndyamukama, Mkisi na Masemere pande za Jitegemeee ilikuwa mtiti.
Umenikumbusha msocha aisee, alikuwa maarufu sana galanos na tanga kwa ujumlaMr. Msocha Galanos secondary school Tanga hiyo. Huyu jamaa ni snichi kinoma zaidi ua yuda escariot.