Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

Chief hakua na ukali alikua mshikaji tuu hasa kwa vijana wa o level na mtafuta sifa.
Machakura enzi ya zamu yake alikua anatuamsha alfajir anatukimbiza mchaka mchaka.

Wewe wa mwaka gani?
Marehemu "Machakura" hakuwa na ukali wowote...

Labda kidogo ungemtaja ungemtaja marehemu "Chief"...
 
Ruchwaza,Maganga,Bernard Ngozye(huyu ndo alizidi),kaboneka(huyu alikua mnoko balaa wakati anaingia baada ya miezi kama 6 alipokuwa mwalimu wa michezo akawa mwana)
 
Shule ya Msingi pale Bokorani kulikua na mama mmoja alikua anaitwa mwalimu Meena alikua mangu sana,,,nilipohamia Chamazi shule ya msingi nikakutana na Njimbila alikua na meno kama Reki alikua Nuksi sana
 
Nilisoma St. Matthew kiboko yetu alikuwa Mshana akitokea tu yeye hatugombanii chakula laini zote zinanyooka,
 
babu chacha aliwahi kumkimbiza mshkaj mmoja,mpaka kwao,alikuwa anakaa area c lugalo.na mwanae mmoja nilimaliza nae form four.marehemu miraji pamoja Na kunitengeneza sana tu nikiingia anga zake,ila alikuwa mtu mmoja poa sana,kuna siku tulikuwa tunamngoja mkaanga sumu,kwa pindi la biology practicle,tulipiga nae story sana.kazi zao walizipiga vyema,getini alikuwepo Afande jumapili(Sunday),jikoni bab side,joro Kwa Blandina...
upande wa waalimu wajeda karibu wote walikuwa wababe,wakiongozwa Na kisarika,aliwahi mchota mtama dada mmoja,form one hiyo,parade pale.mwingine ni master,mzee wa kuibeba dunia..maundi Mzee wa nyundo za kichwa

Walimshinda KOMBAHA?
 
Miaka mingi kidogo...

Basi labda Chief alikuja badilika miaka ya mbeleni, sisi wakati huo Machakura alikuwa mnoko uwanjani tu akiendesha mazoezi ya soka...

Kile kilima cha pitch panda shuka kilitutesa sana...
Chief hakua na ukali alikua mshikaji tuu hasa kwa vijana wa o level na mtafuta sifa.
Machakura enzi ya zamu yake alikua anatuamsha alfajir anatukimbiza mchaka mchaka.

Wewe wa mwaka gani?
 
Labda alibadilika, mimi nilikua wa form Six 1994, sio zamani sana may be kama wewe
Miaka mingi kidogo...

Basi labda Chief alikuja badilika miaka ya mbeleni, sisi wakati huo Machakura alikuwa mnoko uwanjani tu akiendesha mazoezi ya soka...

Kile kilima cha pitch panda shuka kilitutesa sana...
 
Da mkuu wewe ulikua mtukutu sana da nimecheka sana ukamuongeza nyingine 400
Acha tu mkuu utoto raha sana aisee yaani nilipomuongeza 400 akaona isiwe tabu katupa kwa kuwa alikuwa na shobo na mabinti nikamtafuta binti mmoja wa kizanzibar nikampa kazi anitafutie namba yake nyingine nikaipata sema nikamkaushia sikumtumia tena.
 
Back
Top Bottom