Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
ticha Joseph pale sesesco, zamu yake tulikuwa tunalimimia meno, kwa mapindi alikuwa mzuri sana, anafundisha makatalisti na malogarizim bila notisi.
akitoa test chini ya 60 ni Fimbo zisizo na idadi, anaalika staafu yote inatembeza bakora.
akitoa test chini ya 60 ni Fimbo zisizo na idadi, anaalika staafu yote inatembeza bakora.