Kwenye Kupindua Nchi, Ukishindwa Mara ya Kwanza, Ndiyo Mwisho, Usirudie

Gen Z na Mange vipofu wawili waliojaribu kuucheza mchezo wa hatari sana (uhaini) wakaishia kushindwa.

Mange hana uelewa kwamba JWTZ huilinda katiba ya nchi Rais Samia hajavunja katiba yupo ikulu kihalali hakuna namna unaweza kumpindua kupitia ushawishi hasi haswa katika taasisi ya Jeshi.
Mange anao urafiki na wakubwa serikalini lakini walishindwa kumuelewesha namna muundo mzima wa kiutawala nchini umekaa vipi.

Gen Z wanaweza kuwa na hoja katika kile wanachotaka kifanyike, wanakosa mbinu sahihi za kufikisha ujumbe, jazba haina uwezo wa kuja na suluhisho la kudumu.

Mange akiwa kawazidi umri Gen Z akawadanganya vijana waingie barabarani kwa madai kwamba wanajeshi watawakuta huko huko njiani!. Wanajeshi hawa hawa wanaokula kiapo cha kumlinda Rais anayewalipa mamilioni ya pesa, ghafla wawe upande wa vijana!.

Likawa kosa kubwa la kiufundi. Wengi wakapoteza maisha. Wanapokuja na tarehe mpya kila kukicha maana yake mpango mkuu wa awali umeshafeli.

Kuonyesha kwamba hana uelewa na masuala mazito ya kuandaa machafuko anaendelea yeye na Maria kurudia mbinu ile ile iliyokwisha kushindwa tarehe 29 October.

Hawa dada wawili wanayo misongo ya mawazo yenye kuhusiana na wao wenyewe, wanajaribu kuhamishia chuki yao kwa mamilioni ya vijana wa Gen Z lakini hawana maarifa sahihi pia mbinu za mapambano hawazijui.
Rubbish
 
View attachment 3523677​

Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga mfalme, hakikisha unamuua." Ukishindwa mara ya kwanza, milango ya mafanikio hufungwa kabisa, na kinachofuata ni kupotea kwa uungwaji mkono na kuimarika kwa mfumo uliotaka kuung'oa.

Tukio la Tarehe 29/10/2025: Funzo kwa Tanzania
Tanzania ilishuhudia mtikisiko wa kisiasa tarehe 29 Oktoba 2025, pale kikundi kidogo kilipojaribu kutaka kuipindua serikali madarakani. Jaribio hilo lilishindwa vibaya ndani ya saa chache. Historia inatufundisha kuwa jaribio la kwanza linapofeli, serikali hujipanga upya kwa nguvu zaidi. Serikali ya Tanzania ilionyesha ukomavu kwa kudhibiti vurugu hizo haraka, ikitumia vyombo vya ulinzi na usalama kuziba mianya yote ya machafuko bila kutoa nafasi ya pili kwa wapangaji wa mipango hiyo.

Wanaharakati Maria Sarungi na MangeKimambi
Licha ya kushindwa huko, wanaharakati wa kidijitali kama Mange Kimambi na Maria Sarungi wameendelea kuhamasisha maandamano mengine mfululizo tarehe 9 Desemba 2025, 25 Desemba 2025, na hata leo tarehe 1 Januari 2026. Hata hivyo, uhalisia ni kwamba hamasa hizi zinagonga mwamba. Wananchi wengi wamekata tamaa baada ya jaribio la kwanza kufeli, na hofu ya mkono wa dola imeongezeka. Kudhibitiwa kwa vurugu na serikali kumeonyesha kuwa mfumo wa ulinzi uko macho zaidi kuliko awali.

Mifano ya Kidunia:​

Dhana hii si ngeni duniani. Mifano kadhaa inaonyesha kuwa kurudia jaribio baada ya kufeli ni kujitafutia maangamizi:

Uturuki (2016): Baada ya jaribio la mapinduzi kufeli dhidi ya Erdogan, serikali ilisafisha jeshi na mahakama kiasi kwamba hakuna aliyethubutu tena.
Urusi (Kupinduliwa kwa Gorbachev 1991): Jaribio la kwanza liliposhindwa, nguvu ya wapinzani iliyeyuka na mfumo mzima ukabadilika, huku wahusika wakishikwa kirahisi.

Hitimisho
Historia ni mwalimu mzuri. Mara tu jaribio la kwanza linapofeli, mshangao (surprise element) hupotea, na dola huimarisha intelejensia yake. Kwa Tanzania, harakati za sasa za kutaka kurudia machafuko ni sawa na kupigia mbuzi gitaa; serikali imeshajifunza, na wananchi wameshaona gharama ya vurugu.

GEN Z fanyeni kazi, msipotoshwe na wanaharakati na wanasiasa
Not everything can be reduced into a mathematical formula.

Here are a few notable examples that are antithetical to your generalization:
  • Adolf Hitler and the Nazi Party (Germany):
    • Failed Attempt: In November 1923, Hitler and his followers launched the Beer Hall Putsch in Munich to seize control of the Bavarian government as a stepping stone to overthrowing the national Weimar Republic. The coup was quickly suppressed by police, resulting in casualties, Hitler's arrest, and a prison sentence for treason.
    • Subsequent Success: While imprisoned, Hitler wrote Mein Kampf and fundamentally changed the Nazi strategy from armed revolution to obtaining power through legal political means and propaganda. This approach, combined with the extreme economic distress of the Great Depression, proved lethally effective, and Hitler was appointed Chancellor in 1933, after which he quickly consolidated power into a dictatorship.
  • Fidel Castro (Cuba):
    • Failed Attempt: In July 1953, Fidel Castro led a small, armed uprising with around 135 men to attack the Moncada Barracks. The attack was a military failure; most of the rebels were killed or captured, and Castro himself was arrested and imprisoned.
    • Subsequent Success: After being released under an amnesty, Castro went into exile, regrouped his forces, and returned to Cuba in 1956. This marked the beginning of the Cuban Revolution, a prolonged guerrilla war that eventually toppled the dictatorship of Fulgencio Batista by December 1958.
  • Francisco Franco (Spain):
    • Initial Attempt: In July 1936, General Francisco Franco was one of the key military officers who attempted to overthrow Spain's democratically elected leftist government. The coup attempt was only partially successful, as rebel forces seized control of just one-third of the country, precipitating a three-year-long and bloody Spanish Civil War.
    • Subsequent Success: Franco's rebel Nationalists, with significant military aid from Fascist Italy and Nazi Germany, ultimately won the civil war. Franco emerged victorious and established a long-lasting authoritarian dictatorship that ruled Spain until his death in 1975.
  • Abdel Fattah al-Burhan (Sudan):
    • Failed Attempt: A coup attempt occurred in Sudan in September 2021.
    • Subsequent Success: Following the unsuccessful attempt just over a month earlier, military forces led by General al-Burhan launched another coup in October 2021. This time, they arrested the prime minister and other government officials, dissolved the transitional government, and established a state of emergency, effectively seizing power.
 
TUNAKUJA MARA NYINGINE TAREHE 12JANUARY2026 KUKIWASHA TENA. HATA KIPINDI MABABU ZETU WALIPOKUWA WANAPIGANIA HAKI WALIKUWA WANAANDAMANA MARA KWA MARA KWA KUSHINDWA LAKINI MWISHOWE WAKASHINDA.AWAMU HII TUNAKUJA NA MOTO MKALI ZAIDI TO OVERTHROW THE FEMALE TYRANT
Mnataka kutuletea mambo ya Kinjekitile siyo?? Halafu watu na akili zenu mmeshikiwa na huyu malaya:-
20251209_104004.jpg
 
Not everything can be reduced into
  • Abdel Fattah al-Burhan (Sudan):
    • Failed Attempt: A coup attempt occurred in Sudan in September 2021.
    • Subsequent Success: Following the unsuccessful attempt just over a month earlier, military forces led by General al-Burhan launched another coup in October 2021. This time, they arrested the prime minister and other government officials, dissolved the transitional government, and established a state of emergency, effectively seizing power.
Kama mfano wa Sudan hapo mwishoni nao unaona kitu cha kujifunza basi hatuna watu.
 
Nimekuambia hivi vitu haviendeshwi na mathematical formulas! What works here may not work elsewhere (or vice versa). Similarly, what works today may not work tomorrow (or vice versa)!
 
We should study why something works in one context in order to increase the chances of successfully adapting it elsewhere or sustaining it over time.
 
Yale hayakuwa mapinduzi muachage kukuza mambo, zile zilikuwa ni riot mtaani mnakuja kusema eti yalikuwa ni mapinduzi!, mapinduzi gani yale yalikuwa ya kinyonge vile? Mnakuza mambo bila aibu ili kujenga propaganda zenu
 
Pia historia inaonesha hakuna mtu aliweza kutawala kwa kutumia jeshi na polisi kwa muda mrefu endapo hatakuwa popular support ya wananchi .... kutawala kwa kutumia jeshi na polisi ni gharama sana

View attachment 3523677​

Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga mfalme, hakikisha unamuua." Ukishindwa mara ya kwanza, milango ya mafanikio hufungwa kabisa, na kinachofuata ni kupotea kwa uungwaji mkono na kuimarika kwa mfumo uliotaka kuung'oa.

Tukio la Tarehe 29/10/2025: Funzo kwa Tanzania
Tanzania ilishuhudia mtikisiko wa kisiasa tarehe 29 Oktoba 2025, pale kikundi kidogo kilipojaribu kutaka kuipindua serikali madarakani. Jaribio hilo lilishindwa vibaya ndani ya saa chache. Historia inatufundisha kuwa jaribio la kwanza linapofeli, serikali hujipanga upya kwa nguvu zaidi. Serikali ya Tanzania ilionyesha ukomavu kwa kudhibiti vurugu hizo haraka, ikitumia vyombo vya ulinzi na usalama kuziba mianya yote ya machafuko bila kutoa nafasi ya pili kwa wapangaji wa mipango hiyo.

Wanaharakati Maria Sarungi na MangeKimambi
Licha ya kushindwa huko, wanaharakati wa kidijitali kama Mange Kimambi na Maria Sarungi wameendelea kuhamasisha maandamano mengine mfululizo tarehe 9 Desemba 2025, 25 Desemba 2025, na hata leo tarehe 1 Januari 2026. Hata hivyo, uhalisia ni kwamba hamasa hizi zinagonga mwamba. Wananchi wengi wamekata tamaa baada ya jaribio la kwanza kufeli, na hofu ya mkono wa dola imeongezeka. Kudhibitiwa kwa vurugu na serikali kumeonyesha kuwa mfumo wa ulinzi uko macho zaidi kuliko awali.

Mifano ya Kidunia:​

Dhana hii si ngeni duniani. Mifano kadhaa inaonyesha kuwa kurudia jaribio baada ya kufeli ni kujitafutia maangamizi:

Uturuki (2016): Baada ya jaribio la mapinduzi kufeli dhidi ya Erdogan, serikali ilisafisha jeshi na mahakama kiasi kwamba hakuna aliyethubutu tena.
Urusi (Kupinduliwa kwa Gorbachev 1991): Jaribio la kwanza liliposhindwa, nguvu ya wapinzani iliyeyuka na mfumo mzima ukabadilika, huku wahusika wakishikwa kirahisi.

Hitimisho
Historia ni mwalimu mzuri. Mara tu jaribio la kwanza linapofeli, mshangao (surprise element) hupotea, na dola huimarisha intelejensia yake. Kwa Tanzania, harakati za sasa za kutaka kurudia machafuko ni sawa na kupigia mbuzi gitaa; serikali imeshajifunza, na wananchi wameshaona gharama ya vurugu.

GEN Z fanyeni kazi, msipotoshwe na wanaharakati na wanasiasa
 
Gen Z na Mange vipofu wawili waliojaribu kuucheza mchezo wa hatari sana (uhaini) wakaishia kushindwa.

Mange hana uelewa kwamba JWTZ huilinda katiba ya nchi Rais Samia hajavunja katiba yupo ikulu kihalali hakuna namna unaweza kumpindua kupitia ushawishi hasi haswa katika taasisi ya Jeshi.
Mange anao urafiki na wakubwa serikalini lakini walishindwa kumuelewesha namna muundo mzima wa kiutawala nchini umekaa vipi.

Gen Z wanaweza kuwa na hoja katika kile wanachotaka kifanyike, wanakosa mbinu sahihi za kufikisha ujumbe, jazba haina uwezo wa kuja na suluhisho la kudumu.

Mange akiwa kawazidi umri Gen Z akawadanganya vijana waingie barabarani kwa madai kwamba wanajeshi watawakuta huko huko njiani!. Wanajeshi hawa hawa wanaokula kiapo cha kumlinda Rais anayewalipa mamilioni ya pesa, ghafla wawe upande wa vijana!.

Likawa kosa kubwa la kiufundi. Wengi wakapoteza maisha. Wanapokuja na tarehe mpya kila kukicha maana yake mpango mkuu wa awali umeshafeli.

Kuonyesha kwamba hana uelewa na masuala mazito ya kuandaa machafuko anaendelea yeye na Maria kurudia mbinu ile ile iliyokwisha kushindwa tarehe 29 October.

Hawa dada wawili wanayo misongo ya mawazo yenye kuhusiana na wao wenyewe, wanajaribu kuhamishia chuki yao kwa mamilioni ya vijana wa Gen Z lakini hawana maarifa sahihi pia mbinu za mapambano hawazijui.
Katiba Gani wanalinda? Hao wahuni tuu Kama mafala wengine mnaoigwa viini macho
 
View attachment 3523677​

Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga mfalme, hakikisha unamuua." Ukishindwa mara ya kwanza, milango ya mafanikio hufungwa kabisa, na kinachofuata ni kupotea kwa uungwaji mkono na kuimarika kwa mfumo uliotaka kuung'oa.

Tukio la Tarehe 29/10/2025: Funzo kwa Tanzania
Tanzania ilishuhudia mtikisiko wa kisiasa tarehe 29 Oktoba 2025, pale kikundi kidogo kilipojaribu kutaka kuipindua serikali madarakani. Jaribio hilo lilishindwa vibaya ndani ya saa chache. Historia inatufundisha kuwa jaribio la kwanza linapofeli, serikali hujipanga upya kwa nguvu zaidi. Serikali ya Tanzania ilionyesha ukomavu kwa kudhibiti vurugu hizo haraka, ikitumia vyombo vya ulinzi na usalama kuziba mianya yote ya machafuko bila kutoa nafasi ya pili kwa wapangaji wa mipango hiyo.

Wanaharakati Maria Sarungi na MangeKimambi
Licha ya kushindwa huko, wanaharakati wa kidijitali kama Mange Kimambi na Maria Sarungi wameendelea kuhamasisha maandamano mengine mfululizo tarehe 9 Desemba 2025, 25 Desemba 2025, na hata leo tarehe 1 Januari 2026. Hata hivyo, uhalisia ni kwamba hamasa hizi zinagonga mwamba. Wananchi wengi wamekata tamaa baada ya jaribio la kwanza kufeli, na hofu ya mkono wa dola imeongezeka. Kudhibitiwa kwa vurugu na serikali kumeonyesha kuwa mfumo wa ulinzi uko macho zaidi kuliko awali.

Mifano ya Kidunia:​

Dhana hii si ngeni duniani. Mifano kadhaa inaonyesha kuwa kurudia jaribio baada ya kufeli ni kujitafutia maangamizi:

Uturuki (2016): Baada ya jaribio la mapinduzi kufeli dhidi ya Erdogan, serikali ilisafisha jeshi na mahakama kiasi kwamba hakuna aliyethubutu tena.
Urusi (Kupinduliwa kwa Gorbachev 1991): Jaribio la kwanza liliposhindwa, nguvu ya wapinzani iliyeyuka na mfumo mzima ukabadilika, huku wahusika wakishikwa kirahisi.

Hitimisho
Historia ni mwalimu mzuri. Mara tu jaribio la kwanza linapofeli, mshangao (surprise element) hupotea, na dola huimarisha intelejensia yake. Kwa Tanzania, harakati za sasa za kutaka kurudia machafuko ni sawa na kupigia mbuzi gitaa; serikali imeshajifunza, na wananchi wameshaona gharama ya vurugu.

GEN Z fanyeni kazi, msipotoshwe na wanaharakati na wanasiasa
Samia na genge lake waanze na wewe! Pengine ndio ulikuwa na mpango wa kumpindua, ila waliopinga uchaguzi bila ya mabadiliko, mpaka sasa hawana mpango wa kumpindua yeyote!
 
**********Ooooo
 
Wananchi hawapindui nchi hata siku moja bali wanamuondoa kiongozi wasiyemtaka, ndio maana wakiitisha maandamano ukiwaua kiongozi unapoteza legitimacy yako kwao, vinginevyo utawatawala kwa mabavu.Mapinduzi yanafanywa na wanajeshi walio na silaha na sio wananchi wenye kelele.
 
Back
Top Bottom