Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Katiba hii hii inayoiendesha Tanzania.Katiba Gani wanalinda? Hao wahuni tuu Kama mafala wengine mnaoigwa viini macho
Katiba hii hii inayoiendesha Tanzania.Katiba Gani wanalinda? Hao wahuni tuu Kama mafala wengine mnaoigwa viini macho
Kwani ccm wanatoka? Mkishakataliwa kubalini, kuendelea kupora chaguzi ili mkae madarakani kwa shuruti imeshapita muda wake.Hayo mambo ya West Africa, siyo jadi yetu. Tunachojuwa ni kwamba Wanajeshi wakiingia huwa siyo rahisi kutoka. Msiombe mapinduzi ya kijeshi
😁😁There is a scientific adage: Practice make it perfect!
Mimi nilitegemea ujibu kwa hoja kuliko kutukana. Mleta hoja hakutukana bali ameleta hoja sasa wewe jibu hoja kwa hoja pinzani ili sisi wasomaji tujifunze kutoka kwenye hoja zenu ili tujue nani mwenye hoja za kweli kuliko matusi.Pumbavu wewe. Unatumia matako yenye mavi kufikiri. Mapinduzi ya Uturuki na hayo uliyoyataja hapo yaliungwa mkona na wananchi? Huna akili kushabikia upuuzi tu.
Ana hoja gani zaidi ya upumbavu.Mimi nilitegemea ujibu kwa hoja kuliko kutukana. Mleta hoja hakutukana bali ameleta hoja sasa wewe jibu hoja kwa hoja pinzani ili sisi wasomaji tujifunze kutoka kwenye hoja zenu ili tujue nani mwenye hoja za kweli kuliko matusi.
Busara ilikua kujibu kwa hoja..Pumbavu wewe. Unatumia matako yenye mavi kufikiri. Mapinduzi ya Uturuki na hayo uliyoyataja hapo yaliungwa mkona na wananchi? Huna akili kushabikia upuuzi tu.
Hoja gani juu ya mpuuzi kama huyoBusara ilikua kujibu kwa hoja..
Kabisa lo