Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na Tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10. Kujilingalisha ni sawa na kusema muuza genge Tanzania hata tukukuwa kwa 6% kwa mwaka ni ndogo kuliko 4% ya mwenye. M super market . Mama Samia anafikia zanzibar , familia na rushwa kila siku.

View: https://youtu.be/9LaRZ5_h_FQ?si=UJr1FSY4Od13d1aK

2024

2025
 
Well, our f*cking government is an undisputed champion in crimes against humanity. Kudos to Kizimkazi’s fazafaka!
 
Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10. Kujilingalisha ni sawa na kusema muuza genge Tanzania hata tukukuwa kwa 6% kwa mwaka ni ndogo kuliko 4% ya mwenye. M super market . Mama Samia anafikia zanzibar , familia na rushwa kila siku.

View: https://youtu.be/9LaRZ5_h_FQ?si=UJr1FSY4Od13d1aK

2024

2025

Kundustan hata ingekuwa namba 1 haiwasaidii kitu
-Kila mwaka Wana njaa
-Kila mwaka wanauana
-Ina madeni makubwa
-70% ya Bajeti yake inalipa madeni
-Hawana uwezo wa kuhudumia jamii Yao
-Income inequality kubwa
-Rushwa iliyokithiri
-Uhalifu uliopindukia
-Ukosefu wa usalama
-High unemployment

Na upuuzi mwingine kama huo 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DU8DPd-CIMu/?igsh=MTlweGp5bnNlenZsNQ==

Mwisho Uganda,Rwanda & Tanzania ndio Nchi Zinazoongoza Kwa kasi ya ukuaji wa Uchumi na pia ndio tuna welfare nzuri kuliko hao wenye GDP kubwa.

Uchukie wa Tanzania ndio resilient kuliko Nchi yeyote hapo na ndio maana wote wakifeli lazima waje kuomba Msaada Tanzania.

So mtoa mada achana na paper GDP njoo Kwa ground tuone mfano Tanzania Kila Kijiji kina Umeme,Maji ya Bomba na good Health facilities nk nk

Waliituoita ni Ghana ambao inajukikana Wana Mafuta,Dhahabu namba 1 Africa,Cocia ni 2 Duniani na Rasilimali zingine.

Pia Nchi Yao ni ndogo na idadi ndogo ya watu so ni rahisi kuwa managable.
 
Variable maana yake ni dume jike aka ladyboy . Ndiyo maana baada ya kufanya kazi ni machawa
 
Huna hoja eleza hayo hapo Juu imekuwaje GDP kubwa ya bwana zako wa Kenya imeshindwa kuondoa hizo sifa mbaya za failed state?
 
Failed state ni nani kati ya Tanzania fake election and murder na kenya democratic state🤦🏾‍♂️😇😂
 
Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10. Kujilingalisha ni sawa na kusema muuza genge Tanzania hata tukukuwa kwa 6% kwa mwaka ni ndogo kuliko 4% ya mwenye. M super market . Mama Samia anafikia zanzibar , familia na rushwa kila siku.

View: https://youtu.be/9LaRZ5_h_FQ?si=UJr1FSY4Od13d1aK

2024

2025

Sasa hii ni kuandika stori? Kabla hujaeleza vitu muhimu umekimbilia kumshambulia Samia!
 
Kundustan hata ingekuwa namba 1 haiwasaidii kitu
-Kila mwaka Wana njaa
-Kila mwaka wanauana
-Ina madeni makubwa
-70% ya Bajeti yake inalipa madeni
-Hawana uwezo wa kuhudumia jamii Yao
-Income inequality kubwa
-Rushwa iliyokithiri
-Uhalifu uliopindukia
-Ukosefu wa usalama
-High unemployment

Na upuuzi mwingine kama huo 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DU8DPd-CIMu/?igsh=MTlweGp5bnNlenZsNQ==

Mwisho Uganda,Rwanda & Tanzania ndio Nchi Zinazoongoza Kwa kasi ya ukuaji wa Uchumi na pia ndio tuna welfare nzuri kuliko hao wenye GDP kubwa.

Uchukie wa Tanzania ndio resilient kuliko Nchi yeyote hapo na ndio maana wote wakifeli lazima waje kuomba Msaada Tanzania.

So mtoa mada achana na paper GDP njoo Kwa ground tuone mfano Tanzania Kila Kijiji kina Umeme,Maji ya Bomba na good Health facilities nk nk

Waliituoita ni Ghana ambao inajukikana Wana Mafuta,Dhahabu namba 1 Africa,Cocia ni 2 Duniani na Rasilimali zingine.

Pia Nchi Yao ni ndogo na idadi ndogo ya watu so ni rahisi kuwa managable.

Uganda wanakuja kwa kasi sana,sio mda mrefu wanatupita
 
Mada za aina hii zinawatia kiwewe kikuu wakenya kama mleta mada mwenyewe.

Hajaeleza Ethiopia na Angola kumetokea majanga gani; kinachomfurahisha tu yeye ni kuona Kenya inatajwa kwenye nafasi husika. ili ajisikie vizuri kuhusu nyumbani!

Hii ni safari ndefu, na haijaanza leo. Bei ya mafuta ikitetereka kidogo tu Angola anakuwa chini; ikipanda juu anakuwa juu
. Sijui Ethiopia kumetokea nini, lakini kufurahia Kenya kuwa juu ya Ethiopia ni kama kujilisha upepo tu wa muda mfupi.

Tanzania kuitaja katika mataifa hayo wakati huu ni sawa na kujifanya hujui chochote kinachofanyika wakati huu. Hili ni taifa lililolazimishwa kuwa katika hali ya usingizi wa pono kwa kulazimishwa, na kulitaka nalo lishindane kama mataifa mengine ni kutafuta tu kulidhalilisha juu ya hali inalolikabili; wakati ukijuwa wazi kabisa kwamba hiyo Kenya hawezi kamwe kuwa mshindani wa Tanzania katika hali ya kawaida.

Uchumi wa Kenya wakati huu umepandishwa sana na nini? Diaspora Remittances, Tourism" au kitu gani zaidi ya hapo; maana mambo ya miundombinu ilishaingizwa siku nyingi. Ni kipi kipya kinachowaendea vizuri wakati huu, mikopo ya IMF na WB? Mombasa na SGR vimepamba moto zaidi?

Wameuza sana vitunguu vya Tanzania ulaya; au avocado na macadamia?

Nini kimeongezeka kuwapaisha hivyo!
 
Mama Samia anaupiga mwingi, nashauri aongezewe mshahara na aongoze mpaka siku akisusa 😂
 
Back
Top Bottom