Kwenye list ya Ma-genius wanaishi kuanzia 2007 hakuna hata mmoja ametoka Africa

Viko wapi vigezo vilivyozalisha majiniaz hao
 
Summary
1. American = 42

2. British = 24

3. Russia = 3

4. Canada = 3

5. China = 2

6. Iran = 2

7. Irish = 2

8. Japan = 2

9. Swiss = 2

10. German = 2

11. South Africa = 1

12. Brazil = 1

13. India = 1

14. Saudi = 1

15. Spain = 1

16. Dutch = 1

17. Vietnam = 1

18. Norway = 1

19. Philippine = 1

20. Australia = 1

21. Poland = 1

22. Tibet = 1

23. N/A =1

25. Ukraine = 1

26. New Zealand = 1

27. Italy =1
 
nelson mandela raia wa wapi wakuu???
 
Summary (abridged)
Writers = 10
Musicians = 9
Composers =6
Scientists =5
Singers =5
Computer Science = 4
Engineers = 4
Poets = 4
Economics/Buss = 4
Physicists = 3
Mathematicians =2
Chemists = 2
Historians 2
 
Zaidi ya robo Tatu ni wateule (wayahudi)
 
Legacy ya nini wewe, hata babu ya baba yako hujui jina lake
Ndio huenda hamjui but huyu genius amechangia mabadiliko ya maisha ya huyo babu...
Huenda akienda hospital akapewa dawa za hao magenius..
Pia huenda babu wa kijijini akalazimika kujua kupiga simu na kujua jinsi ya kuandika sms ila zamani asingetumia njia hizo ila kuna genius wamemfanya hivyo...

Wewe pia kuna vitu vingi ulazimika/ unalazimishwa kutii mbinu za hao genius uwe unawajua au laah
 

Unamfaham huyu Mnigeria Dr. Osato Osemwengie
Ndiye mbunifu #1 wa Drone zinazotumika na jeshi la marekani na vifaa vinavyo kwenda sayari za mbali

Kimsingi;
Africa wapo ila hawapo documented
1. Kuna waandishi wakubwa wa Poet hasa huko west Africa ila hawajatajwa
2. Kuna mwandishi wetu kama Shaaban Robert... angekuwa Ulaya naye angejumuishwa
3. Kuna watu kama kina mandela, Nyerere nk waliokuwa na influence kwa bara zima
4. Nimekumbuka Prof Massawe aliyefanikisha ugunduzi wa mbegu bora kabisa ya Korosho Duniani (research ya miaka 25) na mbegu ya mihogo pale Naliendele; Kafikisha miaka 60 tukamuachia, akachukuliwa na Nchi nyingine kwenda kuendeleza tafiti zake za mazao!
5. Kuna Mtanzania mmoja aligundua technologia ya kuunganisha Neuron wakati anafanya PhD kahamia huko Ujerumani kwa kuwa hatuna lab za kufanya kazi hiyo... na wengine wengi tu, japo hawatambuliki
 
Unamfaham huyu Mnigeria Dr. Osato Osemwengie
Ndiye mbunifu #1 wa Drone zinazotumika na jeshi la marekani na vifaa vinavyo kwenda sayari za mbali

Kimsingi;
Africa wapo ila hawapo documented
Sure waafrica wengi hawapo organised hata wapogundua kitu hakiwi documented na copyrighted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…