Kwenye list ya Ma-genius wanaishi kuanzia 2007 hakuna hata mmoja ametoka Africa

Kwenye hiyo orodha wewe ni yupi?
 
The daily Telegraph hawako serious kabisa;

Hivi kuteka, kutesa na kuua, bila kujulikana sio ujenius kweli?
Akili ya kuangusha ndege ndani ya USA ni ndogo ?.
Akili ya kuanzisha jeshi lisilojulikana ila lipo ni ndogo. Wanyonge wengi duniani wanatumia mbinu ya kijeshi ya Osama mfano,Eukrain dhidi ya Rissia, Iraq, Sylia nk vs USA.
USA kashindwa vita nchi nyingi kwa sababu ya mtindo wa vita alioanzisha Osama. Town war mastermind ni Osama. Ona kule Islael inavyopata tabu na kajeshi kadogo, Islael na Russia wasipo angalia watapigana hata miaka 10 na vijeshi vidogo, hii ni akili ya Osama.
Kwenye modern war bila kutumia akili ya Osama humshindi adui maana adui akizidiwa anakuwa anajifanya hana jeshi linaloonekana.
Kingine Osama alifanikiwa kuunganisha watu mbali mbali duniani bila serikali kujua. Osama ana wafuasi kila nchi ambao mda wowote hugeuka kuwa wanajeshi.
Jaribu wewe kuunganisha watu hapa TZ tu kama utaweza.
Sema hapo wamewasahau watu kama 3.
1.Carlos the jackal
2.El chapo
3. The MAFIA master huyu simkumbuki jina.
4. Kiongozi wa YAKUZA kule japani.
Hawa jamaa wamewazidi akili viongozi wa serikali za Dunia na kuongoza serikali zao za kihalifu.
 
waafrika na waarabu na u genius wapi na wapi ndugu yangu? mbona unatuonea bure wajameni
Kames west huyo ni black k America sio mzungu. Huyo jamaa ni master wa microphone na vispoka vidogo vidogo vya masikioni.

Kwa uwiano wa watu weusi na wazungu ni sawa kuwa na orodha ya weusi 2.
Hii orodha ni ya zamani maana wengine washakufa halafu title inasema wanaoishi.
Geneus wanaoishi Elon Musk hawezi kosa. Terence, Tao hawezi kosa. Linus Torvado hawezi kosa. Torvado ni geneus kuliko billgate ktk computer scuence and technology labda kama ni umaaarufu na ushawishi ila kawekwa billgate kaachwa Torvado. Anawekwa waniak halafu anaachwa job wakati wote wawili ndio wameanzisha tech za apple.
Sijui wamezi gatia nini kwenye hii orodha.
 
Mbona Dr Philip Emeagwali wa Nigeria hayumo?
View attachment 3135216
Emegwel ni bonge la majigambo. Hana kitu cha kumfa ya geneus wa dunia.
Wanaijeria ni wajanja wajanja sana. Usiwaamini sana wanaijeria. Yeye amejite genezea you tube chanel ya kujisifia. Ukimsikiliza hata haeleweki anchojua zaidi ya kueleza computer kama wengine wana yoeleza. Niliwahi mfuatilia sana huyu jamaa. Nadhan sio msomi wa muogopwa.
 
Kumbe
Nilikuwa sijui maana mimi nimejiuliza na ku google hivi hakuna mwafrika au waafrila genius?
Ila wavumbuzi wapo wengi tu ila la wenye vipaji maalum siwajui kwa kweli
 
Kumbe
Nilikuwa sijui maana mimi nimejiuliza na ku google hivi hakuna mwafrika au waafrila genius?
Ila wavumbuzi wapo wengi tu ila la wenye vipaji maalum siwajui kwa kweli
Wapo ila sio wengi. Kwa America zama za ubaguzi watumwa hawakuruhusiwa kusajili patents hata kampuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…