ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Hakuna mahusiano yaliyo balance 50/50. Lazima kuna upande unaogharamia/wekeza kwenye mahusiano zaidi ya upande mwingine. Anayewekeze zaidi kwenye mahusiano ndiye anayemuhitaji mwenzie kuliko mwenzie anavyomuhitaji yeye, na mara nyingi ndiye mwanzilishi wa hayo mahusiano.
Kwenye uhusiano kati ya mwanaume na mwanamke, kila mmoja anawekeza lakini kwa jinsi, na viwango tofauti. Mwanaume anawekeza pesa(vyingine ni attention & commitment) na mwanamke anawekeza $3X(pussy).
Unaweza kuona kama vile ni unfair exchange lakini ndio uhalisia. Moyo wa mwanaume ni wallet yake na moyo wa mwanamke upo katikati ya miguu yake. Mwanaume akikutana na mwanamke akampenda na kutaka kuendelea kuwa naye atakachofanya ni ku spend kwa huyo mwanamke hata kabla hajamfanyia chochote.
Mwanamke yeye akikutana na mwanaume akampenda na kutaka kuwa naye cha kwanza atakachofanya ni kulala naye. Atampa ishara na mitego hadi Baharia amege Apple bila ya kutoa cent moja. Sex kwa mwanamke inatengeneza emotional bond, kuhisi kwamba anatakiwa kuwa karibu zaidi na huyo mwanaume. Hii inatokana na baada ya sex mwanamke ndiye anayebaki na gharama kubwa. Psychologically, anapiga hesabu za miezi tisa ya mimba na pengine miaka 4 ya kulea mtoto mchanga. Ndio maana mwanamke anaweza kuwa haeleweki lakini baada ya sex upendo wake unaongezeka. Emotional bond anayojenga mwanamke baada ya sex inafanya sex iwe uwekezaji wa mwanamke kwenye mahusiano.
Kwa mwanaume ni tofauti, sex haijengi emotional bond, wala haimanishi sawasawa na ilivyo kwa mwanamke.
Mwanaume anajenga bond kwa ku spendi/kujitoa/sadaka.
Imeandikwa "Ilipo hazina ya mtu ndipo utakapokuwepo moyo wake" Matthew 6: 21, For where your treasure is, there also is your heart.
Kama unataka kuteka moyo wa mwanaume iteke kwanza wallet yake. Mfanye aspend kwako to the point of no return. Wanaume wengi wamekutana na wanawake wa kawaida sana lakini wameshindwa kuwaacha, why? Kwa sababu hao wanawake waliwafanya hao wanaume watumie pesa zao zaidi kwenye mahusiano. Mwanaume anaweza kuwa na sababu za kuvunja mahusiano lakini akipiga hesabu pesa alizotumia anashindwa kuachana, our hearts follow our treasures.
Wanaume kujenga bond kwa ku spend ni mojawapo ya sababu zinazofanya taasisi mbalimbali za kidini ama kisiasa kuhimiza wafuasi wao kujitoa kwa sadaka na michango mbalimbali. Siyo kwamba wanashida materially bali wanataka kupata uhakika wa loyalty ya wafuasi wao. Mtu akishawekeza sana mahali anajihisi kuwa connected na mahali pale. Hata mitaani, ukishazoea kununua vitu duka/ ama mgahawa fulani kwa muda mrefu itafika mahali uhisi kwenda kununua kwingine ni usaliti ingawa pesa ni yako mwenyewe.
Sasa tumeona jinsi mwanaume na mwanamke wanavyowekeza kwenye mahusiano. Sasa nani mweye Nguvu? Ni Yule aliyekuwa wa kwanza kupokea uwekezaji wa mwenzie, ambaye alikuwa na option ya kukatisha mahusiano kabla ya yeye kuwekeza. Anayekuwa wa kwanza kum approach mwingine ndiye trophy chesser, atatakiwa kuwekeza kama njia ya kubond na huyo trophy wake, na ndiye mwenye Nguvu kidogo kwenye mahusiano na kama yatavunjika ndiye ataumia zaidi.
Ujanja ni kuwa kwenye mahusiano ambayo mwingine ndiye mwekezaji mkuu. Ni kheri kupokea kwanza kabla ya kutoa.