Kwenye maisha epuka kuwa na ukaribu na watu aina ya Issa Tambuu

Mambo ya kipuuzi unaleta hadi huku? Ili iweje
 
Hao ni content creators ,huo utani unawafanya wapate kitu cha kupost
.Mambo ya kawaida sana hayo. Kama ishi ya ngoma sio kweli .
 
Issa ni rafiki mzuri sana kwa Dotto. Baada ya ile issue kutokea aliamua kuibeba kama utani ili kila mtu aamini ni utani kumbe ukweli wanaujua wao wenyewe.
 
Umewatibua walugaluga
Wao waletee stori za vilabu vya kangala na wanzuki na kuvizia wadada mashambani na mtoni
Ukienda mbali sana labda wachambulie jinsi ya kutumia simu ya tecno na oppo
 
Hance Mtanashati kila siku unaleta habari za udaku udaku tu, sijui Diamond amemnunulia kijora Wema Sepetu, mara Uncle angu T amemchamba Mwijaku.. Mkuu kwa nini hata siku moja usituletee uzi wa Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili kuboresha hatma ya nchi yetu...

Halafu I'd yako ni kongwe kimtindo, sasa najaribu ku-imagine siju utakua baba wa design gani, najaribu kutafakari morphology ya mwili wako na life style unayoishi nikilinganisha na story unazotuletea..
 
Una umri gani kijana? Watu wanawasha moto ili wapige pesa wewe unapuyanga
 
Relax.
 

Nimesoma Sana comments zake kwenye Instagram mpaka nikauliza hivi Mnyamwezi na Mzaramo huwa ni watani???

Mpaka Sasa sijapata majibu...ingekuwa ni Mhaya na Mkuria, au Mhehe na Msukuma, au Mchaga na Mpare n.k. ningeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…