Kwenye majukwaa ya kimataifa, Rais Samia atumie akili ya ziada na welevu kujadiliana na kuongea

Mkuu hayo mambo yanaenda na IQ, vinginevyo utakuwa unatema chenga tu.......tatizo letu hiyo nafasi tumeirahisisha sana kiasi kwamba mtu yoyote anaweza kugombea na kuwa rais hapa bongolala.......
 
sio hayo tu sasa hivi wanamtumia CAG kumchafua makufuli na kina zito kabwe ili legancy ya makufuli izidi kushuka maana wanaona bado wananchi wengi wanamkubali jpm wanawatumia CAG na vibaraka wengine
Jiwe alikuwa muuaji hatari sana
 
HIYO AKILI YA ZIADA NA WEREVU ANAO?
Mwenye akili kubwa Ni yule ALIYEPORA KOROSHO za watu Mtwara halafu wakampa Mfanyabiashara mkenya TAPELI AKAZIWEKA ALIBABA.

Nchi hii sijui kina Mkapa na Kikwete walilrwa Nini kuleta Rais mwehu Kama Magu aisee
 
Mwenye akili kubwa Ni yule ALIYEPORA KOROSHO za watu Mtwara halafu wakampa Mfanyabiashara mkenya TAPELI AKAZIWEKA ALIBABA.

Nchi hii sijui kina Mkapa na Kikwete walilrwa Nini kuleta Rais mwehu Kama Magu aisee
Vyeti feki?
 
Mimi najua prof. Baregu alifeli la nane na akaungaunga hadi profesa.
 
Richard,

..Kwanza tuelewe MALENGO ya ziara ya Ssh huko ughaibuni.

..Pili tuelewe REPUTATION ya Jpm huko ughaibuni.

..Kwa mtizamo wangu, Ssh hakukosea ktk majibu yake kuhusu Jpm.

..angesema anakubaliana na misimamo ya Jpm, kungeibuka maswali ya ziada ambayo yangemtaka Ssh atetee misimamo yenye utata ya Jpm.

..Katika ziara zake huko nje Ssh anataka kuvutia investors na watalii hapa nchini.

..Je, Ssh akisema yeye na Jpm ni kitu kimoja, would that boost or diminish investors confidence?

..Kwa upande wangu namshauri Rais to avoid trying to be what she is not.

..If she is not a policy wonk, then she should not try to be one.

..If she is not talkative and a comedian, then she should avoid telling jokes during her speeches and interviews.

..Ssh ajitahidi kuwa MKWELI na WELL INFORMED and she will be just fine.

Cc Nguruvi3, Chige
 
Acha inyeshe tujue panapovuja.

Akili za ziada ni majaaliwa siyo kama makalio ambayo kila mtu huzaliwa nayo.
 
Unatafuta justification kwenye jambo lako hewa. Eti yenyr uzito ni nje ya bara la afrika. Kwa hiyo ukiwa south Africa, Zambia au Nigeria unakua upo bado TZ?

Kuna tofauti gani ya hizo nchi na yetu? Ni lini hizo nchi zimewahi kuwa wafadhili wetu na kuhoji mwenendo wetu wa kuendesha mambo? Hata hili unahitaji upate elimu ya chuo kikuu kulielewa.
 

Ataaminika kwa namna gani? Investors watamuamini vipi kama wakati JPM anaishi alionesha yuko kitu kimoja na yeye kama wake msaidizi number one hadi kutovaa barakoa hadharani.
 
Ataaminika kwa namna gani? Investors watamuamini vipi kama wakati JPM anaishi alionesha yuko kitu kimoja na yeye kama waje msaidizi number one hadi kutovaa barakoa hadharani.

..ataaminika ikiwa ATAJITOFAUTISHA na Jpm kwa maneno na matendo.
 
Rekebisha neno ‘Welevu’ ndio tuchangie
 
..ataaminika ikiwa ATAJITOFAUTISHA na Jpm kwa maneno na matendo.

Alete Katiba mpya kabla 2025, afute ule utamaduni wa CCM kwa kuondoa Rais wao lazima achiwe vipindi viwili vya uongozi wa nchi, aruhusu Katiba mpya itamke Muungano wa serikali tatu au mmoja tuone. Kwani matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.
 
Yule mtu alichafua sana hali ya hewa
Anavyofanya mama ni sahihi
Lazima ajitenge na maamuzi yake mengi ya kipuuzi (ila kwenye corona mimi nilikuwa bega kwa bega na jpm)
 
I can't really figure out what your are trying to say mate.

One of late JPM's decision and stance was to move the government to Dodoma.

Which she reiterated today when inaugurating the construction of ring road, that all major and semi projects must be completed.

If you meant she stays neutral then she should be cautious when answering critical and tricky questions whilst she is abroad on international platforms.
 
Yaan kikubwaa ni kwamba bado nchi haina mfumo maalumu wa kutenganisha matakwa binafsi ya rais na ya kitaifa ndo hvyo hata kwenye sera kila rais akiingia madarakani anakuja na sera zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…