uko sahihi,Kwa aina hii ya malezi inayotrend, its so fkn hard , sisi tu wazazi na walezi hatutaki tena kufikiria tutaendeleza nini ikiwa mizigo mizito yote tumemuachia mnyamwezi AI. 🤣🤣🤣 Critical thinking kwa gen Alpha na kuendelea itakua ni Ancestors stories
Hii itawafanya wanao wawe na critical thinking and creative thinking.
Maana ukiangalia watu wengi hawajui namna ya kufikiria.
View attachment 3564005
Kizazi cha wanaoshughulisha ubongo bila AI au Tiktok wamelisaidia nini taifa?uko sahihi,
AI inaleza ubongo watu hawashunghulishi akili kabisa
usiruhusu litokee kwa wanao.
Kaka huu ni utani sasa...au unataka usikie nasemaje? Tunaomboleza ujue....?Fanya observation utaona mwenyewe.
AI ni kilemaUnasema watoto. Nadhani ungeanza na watu wazima. Maana fikra za watu wazima ndo zimetufikisha hapa na sidhani they have done a good job in thinking!
Overall, kizazi cha sasa kinajitambua kuliko hawa wazee na watu wazima ambao wanawaza tuu kuiba na kujaza matumbo yao at the expense ya walio wengi.
si hata jamii forum ni mfano mzuri kabisaMnaomboleza nini?
Fanya observation utaona mwenyewe wanaoshungulisha ubongo wanaleta matokeo gani kwenye society
Nazi tamu ni ile iliyoanguka yenyeweHii itawafanya wanao wawe na critical thinking and creative thinking.
Nanasi hua haling'olewi linaachwa hua linajing'oa lenyeweYeah apite aangalie what's going on in this platform
AI ni kilemaSio kwa haya maisha ya kisasa, AI imenilemaza sana kitaaluma, yaani naipa complicated reports document inisomee kisha inipe mrejesho, inaniandikia reports, inanifanyia coding ya full system, jameni hivi tunaelekea wapi.
AI inawezesha mtoto anamaliza kazi zake upesi ila kwenye mtihani wa kitaifa aangukia pua.
Kuna dogo mmoja nilikua namfanyisha interview ya kazi online, nilikua namhoji kwa kingereza, aisei nikawa nashangaa dogo ananijibu kwa weledi na ufasaha wa hali ya nikawa nashangaa hivi huyu anatafuta kazi gani kama yuko vizuri hivi, kumbe mpuzi alikua anatumia AI ya kiaina ambayo inaskliza maswali yangu kisha inampa nini cha kujibu....
Unakuta mtu anakua shortlisted kwa face to face interview, anakuja ofisini mnapoanza kuongea unaanza kujiuliza huyu nani maana niliyemhoji kule online alinifunika na majibu ya kitaalam ila huyu kama amepagawa au amechanganyikiwa haonekani kuelewa chochote.
AI itaharibu sana.
Ni kilema haswa,uko sahihi,
AI inalemaza ubongo watu hawashunghulishi akili kabisa
usiruhusu litokee kwa wanao.