Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,334
- 2,938
Hii AI nadhani tuitumie mahali ambapo umegonga mwamba...shida ni kwamb ukishaingia tu kule nayo inajipambanua balaa kiasi kwamb wewe mwenye hiyo idea unajiona mjinga na hujui chochote.
AI ni kilemaAI inakusifiaaa afu kuna sehemu inamalizia hivi:
".....Ukipenda ninaweza nikakuonyesha mbinu kali na bora zaidi kuliko hii unayotumika na wataalam,wasomi,wafanyabiashara wakubwa Duniani" by AI.
Hapa lazima utulie na hapa ndo AI inapotumaliza.