Kwenye malumbano ya hoja ITV kuna kijana anasema siku ya uchaguzi mkuu wa Bara alikuwa Zanzibar

Kwenye malumbano ya hoja ITV kuna kijana anasema siku ya uchaguzi mkuu wa Bara alikuwa Zanzibar

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,264
Ni nani huyu?

Zanzibar alienda kufanya nini?
Kwani hakupiga kura?
Au ndio resource mobilization?

Alisema anaona mitandaoni kuhusu habari ya D09, na kama ikitokea waachiwe wao (kijana) wadili na hao waandamanaji...
 
Nafikiri kuwa kwake Zanzibar sio issue kubwa. Ila hilo la kuachiwa waandamanaji ni uchokozi wa wazi
 
Back
Top Bottom