Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia mtu anatumia kauli kama: "sipendi kuwaamini hawa wanasiasa wetu"au "wanasiasa hawaaminiki; usimwanini mwanasiasa"; "wanasiasa wote dugu moja", n.k. , jua wazi kabisa hiyo ni code ya mwanapropaganda wa CCM na Serikali. Ikishindikana kushambulia wapinzani hasa CHADEMA kwa kuonyesha ubora wa CCM na Serikali yake, dawa ni kuonyesha WOTE WAKO SAWA.Mimi binafsi sipendi kuwaamini hawa wanasiasa wetu nasemaga kabisa niwachumia tumbo hasa hawa wanaojiita watetezi wa Wanyonge ( Wapinzani) hawana tofauti na Wanaccm labda tofauti yao kidogo ni rangi za uniform huwezi kwenye Hili ukakuta Wapinzani hawa wanatangaza kuingia barabarani kulazimisha hii tozo za miamala zipunguzwe zaidi utawasikia wanatishia kuingia barabarani kwenye mambo yanayohusu maslahi ya chama chao.
Pia huwezi kusikia wakiomba posho zao za kibunge zipunguzwe au utaratibu wa kutumia magari ya gharama ya serikali uondolewe ili isaidie serikali kupunguza matumizi makubwa na kutokana na Hili inapelekea Wanyonge kubanwa na kodi nyingi kama sehemu ya kufidia walipopunguza.
NB: Nawashangaa Sana watu kupigania hiv vyama au kutukana eti kwa mapenzi vya hivi vyama unaacha kupigania familia yako unawapigania watu ambao matumbo yao yameshiba sambusa, chips mayai si ujinga na ni uzezeta na ndio maana siwezi kuwa mashabiki wa chama chochote zaidi ya kuwa mshabiki wa Taifa langu la Tanzania
Mnapoambiwa tume huru ya uchaguzi inaingia kwenye mambo kama haya. Tume huru ya uchaguzi ingewezesha kupatikana kwa viongozi wenye uwezo wa kuwatetea wanyongeMimi binafsi sipendi kuwaamini hawa wanasiasa wetu nasemaga kabisa niwachumia tumbo hasa hawa wanaojiita watetezi wa Wanyonge ( Wapinzani) hawana tofauti na Wanaccm labda tofauti yao kidogo ni rangi za uniform huwezi kwenye Hili ukakuta Wapinzani hawa wanatangaza kuingia barabarani kulazimisha hii tozo za miamala zipunguzwe zaidi utawasikia wanatishia kuingia barabarani kwenye mambo yanayohusu maslahi ya chama chao.
Pia huwezi kusikia wakiomba posho zao za kibunge zipunguzwe au utaratibu wa kutumia magari ya gharama ya serikali uondolewe ili isaidie serikali kupunguza matumizi makubwa na kutokana na Hili inapelekea Wanyonge kubanwa na kodi nyingi kama sehemu ya kufidia walipopunguza.
NB: Nawashangaa Sana watu kupigania hiv vyama au kutukana eti kwa mapenzi vya hivi vyama unaacha kupigania familia yako unawapigania watu ambao matumbo yao yameshiba sambusa, chips mayai si ujinga na ni uzezeta na ndio maana siwezi kuwa mashabiki wa chama chochote zaidi ya kuwa mshabiki wa Taifa langu la Tanzania
Hakuna hoja hapo. Mnapoambiwa tupiganie uhuru wa mikutano ambayo ndiyo yenye nguvu kuweza kuwashtaki watawala kwenye mambo kama haya nyie mnawasema vibaya na kuwageuzia vibao.Lkn mleta mada ana hoja. Kwamba wapinzani wanatuahawishi tupiganie tume huru kwasabb imebana mkate wao moja kwa moja. Kwann hawapambanii hili lililobana mkate wa wanyonge??
Wangeweza kuwashawishi wanyonge waingie barabarani ktk hili halafu wakachomekea na katiba mpya humo ndani wangeua tembo kwa ubua.
Haya unayoyaona ni matokeo ya katiba mbovu na kuminywa kwa mikutano ya hadhara.Nilitaka wafanye kama wanavyofanya kwenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mbona wanatusemea japokuwa tuna midomo?? Kwann na hili wasitusemee na kutushawishi tuandamane??
Kwa nini usiwalaumu wabunge wenu vilaza waliojazwa mjengoni kwa.kazi maalum ya kumuandalia mwendazake utawala wa kifalme? Na wakiongea wapinzani kuhusu hoja hizi wewe utakuja tena kuwalaumu kuwa wanadandia hoja ili kujipatia umaarufu. Wakulaumiwa ni CCM na Serikali yake.Nilitaka wafanye kama wanavyofanya kwenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Mbona wanatusemea japokuwa tuna midomo?? Kwann na hili wasitusemee na kutushawishi tuandamane??
Hoja ni kwamba wakikaa kimya then msilalamike maana walipobaniwa kuingia bungeni sikuona mtu yeyote akipiga kelele. So kisiasa wao lazima watulie mpka muone hasara za kutokuwa na KUB, akili zikiwarudi ndio mtawarudisha bungeni kwa kishindo.Kwahiyo hoja yako ni ipi kwamba wametususia na tunastahili kususiwa ndio maana wako busy na kudai katiba mpya kwa masilahi yao ya kisiasa? au kwamba kwa sababu hawapo tena bungeni hivyo hawawezi kuwatetea wananchi wakiwa nje ya bunge?
Ndio maana nauliza kuwa wao hawawezi kuwasemea/kutetea wananchi wakiwa nje ya bunge?Hoja ni kwamba wakikaa kimya then msilalamike maana walipobaniwa kuingia bungeni sikuona mtu yeyote akipiga kelele. So kisiasa wao lazima watulie mpka muone hasara za kutokuwa na KUB, akili zikiwarudi ndio mtawarudisha bungeni kwa kishindo.
wewe ni great thinker kweli?Brother mbona wajichanganya? Post nyingine una justify hizi tozo kwa kufananisha na kodi za US. Wakati huo huo wataka Mbowe awe na msimamo kinzani. Msimamo wako wa TOZO ni upi? Mijitu kama nyie ndio mwatufanya CCM tuonekane malofa kila kona.
Mm natambua sana umuhimu wa katiba . Na ninafahamu katiba ndiyo njia pekee ya kuleta usawa ktk nyanja zote ikiwa ni pamoja na ile ya kidemokrasia.Sexless una matatizo
Nina tatizo kubwa na your way of thinking about this issue
Yaani wewe unaamini uchaguzi ni mali ya CCM,na mpinzani akishinda ni mkate wao hivyo wazuiwe?
Unamzuia opposition asipate equal opportunity ya kushiriki uchaguzi sababu ni "mkate" hivyo anyimwe hivyo apewe nani?Apewe CCM ndio haki yake?
50% ya wananchi wa Tanzania wanapenda opposition,unawanyima haki na equal opportunity hawa watu kuchagua viongozi wao wanaowapenda bila kunyang'anywa kura zao?
Kwanini unakataa Tume Huru ya Uchaguzi?
Una hoja gani hasa?Ndio hii ya "mkate"?Ambayo ni the same kwa CCM?Hivyo CCM waachiwe?
Thinking suspect kabisa hii
Yuko busy mirembe kucheki file la kichaa,aliekua mwenyekiti wa nzi wa kijaniUkitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka.
Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri walionyakua fedha za wanyonge Mbowe aliibuka kila kukicha kuwatetea "wafanyabiashara" wakubwa ambao wengi walikuwa wanakwepa kodi.
Mbowe akatuonesha kuwa kuwabana wafanyabiashara wakwepa kodi ni kukimbiza uwekezaji.
Sasa kibano kimehamia kwa wanyonge Mbowe kauchuna kimyaa na anakula bata Dubai kama kawaida baada ya kuwafitinisha kina Sabaya na jamii.
Kwa kweli walipoanza kupinga waliyokuwa wakiyaamini ndipo walupojishushia hadhi.Ofcourse, kipindi cha Slaa ndo kulikuwa na upinzani wa kweli na nikiwa bado chalii mdogo nliipenda sana chadema!
Kipindi walivomkaribisha yule walokuwa wakimwita fisadi namba moja kugombea uraisi nkaona kumbe hawa mafala tu.!
Nikamgeukiaga Magu, na toka hapo Magu hajawahi niangusha hasa kutetea yaleyale yaliyokuwa yanaongelewa na wapinzani majukwaani!
upinzani ukageuka na kuwa wakosoaji tena wa zilezile hoja zao.
Ukimwona Ndugu yako anapata shida alafu anaetakiwa kumsaidia kabanywa na Serikali utafanyaje?!!...wafanyabiashara na wawekezaji ndio engine ya kupata Kodi ili nyie wanyonge mpate kwenda chooniUkitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka.
Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri walionyakua fedha za wanyonge Mbowe aliibuka kila kukicha kuwatetea "wafanyabiashara" wakubwa ambao wengi walikuwa wanakwepa kodi.
Mbowe akatuonesha kuwa kuwabana wafanyabiashara wakwepa kodi ni kukimbiza uwekezaji.
Sasa kibano kimehamia kwa wanyonge Mbowe kauchuna kimyaa na anakula bata Dubai kama kawaida baada ya kuwafitinisha kina Sabaya na jamii.