mbowe hana umuhimu ulikuwa unaonyeshwa tu kuwa huyu huwa hasaidii jamii bali kazi yake kutetea matajiri waiba hela za ummaKila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.
Leo hii ndio mmejua umuhimu wa wakina Mbowe?
Na bado kudadek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbowe hana umuhimu ulikuwa unaonyeshwa tu kuwa huyu huwa hasaidii jamii bali kazi yake kutetea matajiri waiba hela za ummaKila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.
Leo hii ndio mmejua umuhimu wa wakina Mbowe?
Na bado kudadek
Ni nani anapaza sauti kwaajili ya wanyonge?mbowe hana umuhimu ulikuwa unaonyeshwa tu kuwa huyu huwa hasaidii jamii bali kazi yake kutetea matajiri waiba hela za umma
Mkuu, kwani Mbowe yuko Bungeni? Sheria imepitishwa bungeni unamwambiaje raia wa kawaida akutetete? Sauti za watanzania wangapi wamelalama kuhusu hizi tozo, kwani serikali haizisikii mpaka Mbowe Aongee?Ukitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka.
Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri walionyakua fedha za wanyonge Mbowe aliibuka kila kukicha kuwatetea "wafanyabiashara" wakubwa ambao wengi walikuwa wanakwepa kodi.
Mbowe akatuonesha kuwa kuwabana wafanyabiashara wakwepa kodi ni kukimbiza uwekezaji.
Sasa kibano kimehamia kwa wanyonge Mbowe kauchuna kimyaa na anakula bata Dubai kama kawaida baada ya kuwafitinisha kina Sabaya na jamii.
A namtetea hadi mamako aliekuzalia chooni jinga lao.Mbowe anatetea matycoon tu
Utafiti unaonyesha watu wanaotumia picha za mwendazake zake hawako vizuri kichwani?Ukitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka.
Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri walionyakua fedha za wanyonge Mbowe aliibuka kila kukicha kuwatetea "wafanyabiashara" wakubwa ambao wengi walikuwa wanakwepa kodi.
Mbowe akatuonesha kuwa kuwabana wafanyabiashara wakwepa kodi ni kukimbiza uwekezaji.
Sasa kibano kimehamia kwa wanyonge Mbowe kauchuna kimyaa na anakula bata Dubai kama kawaida baada ya kuwafitinisha kina Sabaya na jamii.
kwani unateseka ukiwa gereza gani mkuu? hahahaaaah! hata ukijifariji hii kodi haina chama mzee, ngoja tunyongwe wote ndo ujue nani anahadaa kati ya yule kipenzi cha mama ntilie na wamachinga na huyu anayeupiga mwingi....Magu hajawahi kupigania wanyonge, bali alikuwa anahadaa wanyonge. Usitake kumpa sifa asizistahili.
Na ni kweli mwanasiasa ni mwanasiasa tu.Tuliishakubaliana hilo ni kundi la wahuni kama wa ccm tu, tofauti yao wao wanavaa khaki tu.
Kwani wanapopigania tume huru maana yake wanahusika na tume isiyokuwa huru ?Kwa hili nawatetea wapinzani,sababu hawapo wala hawahusiki kwenye huu wizi
Kwani wanapopigania tume huru maana yake wanahusika na tume isiyokuwa huru ?
Wanapopigania katiba mpya ina maana wanahusika na hii katiba ya zamani ?
Ingekua busara kuanza kulalamikia wabunge wako,especiallyKwani wanapopigania tume huru maana yake wanahusika na tume isiyokuwa huru ?
Wanapopigania katiba mpya ina maana wanahusika na hii katiba ya zamani ?
Niimeshalalamika tayari.Ingekua busara kuanza kulalamikia wabunge wako,especially
anayekuwakilisha kwenye jimbo lako,hao ndo wangeanza kutoa matamko kabla ya Chadema.
🤣🤣 Hivi bro Chadema ni entity ya kisiasa ,hivi kweli ww unaona hawawi affected na tume huru au katiba ?kama jibu lako ni ndio ,ndio maana wanaipiganiaNiimeshalalamika tayari.
Na kuwalalamikia wabunge wangu sio kizuizi cha mimi kuhoji juu ya mambo mengine kama hayo niliyohoji hapo juu.
Maswali yangu yako pale pale kwa ambaye nimequote na kumuuliza naomba anifahamishe,hapa hatugombani tunaelimishana.
Mimi binafsi sipendi kuwaamini hawa wanasiasa wetu nasemaga kabisa niwachumia tumbo hasa hawa wanaojiita watetezi wa Wanyonge ( Wapinzani) hawana tofauti na Wanaccm labda tofauti yao kidogo ni rangi za uniform huwezi kwenye Hili ukakuta Wapinzani hawa wanatangaza kuingia barabarani kulazimisha hii tozo za miamala zipunguzwe zaidi utawasikia wanatishia kuingia barabarani kwenye mambo yanayohusu maslahi ya chama chao.
Pia huwezi kusikia wakiomba posho zao za kibunge zipunguzwe au utaratibu wa kutumia magari ya gharama ya serikali uondolewe ili isaidie serikali kupunguza matumizi makubwa na kutokana na Hili inapelekea Wanyonge kubanwa na kodi nyingi kama sehemu ya kufidia walipopunguza.
NB: Nawashangaa Sana watu kupigania hiv vyama au kutukana eti kwa mapenzi vya hivi vyama unaacha kupigania familia yako unawapigania watu ambao matumbo yao yameshiba sambusa, chips mayai si ujinga na ni uzezeta na ndio maana siwezi kuwa mashabiki wa chama chochote zaidi ya kuwa mshabiki wa Taifa langu la Tanzania
Naam wanakuwa affected.🤣🤣 Hivi bro Chadema ni entity ya kisiasa ,hivi kweli ww unaona hawawi affected na tume huru au katiba ?kama jibu lako ni ndio ,ndio maana wanaipigania
Halafu acheni huu u jingalao wa kuita watanzania wanyonge, shenzy kbs!!Umuhimu wake ni kuwatetea wafanyabiashara wakubwa ndio maana wanyonge wamebanwa ili wafanyabiashara wakubwa wapumue
nadhani ni hivo!ukishajua kAzi ya mpinzani ni kupinga kile mtawala anachofanya ili aingie madarakani,na kAzi ya mtawala ni kutumia madaraka yake kubaki pale alipo,, utaachana na wanasiasa ,wew kuwa na misimamo yako binafsi ambayo inaleta manufaa kwa Tanzania,,endapo mtalingana kimawazo na mwanasiasa wa Upande wowote ,yote heri🤣Naam wanakuwa affected.
Kwa hiyo kumbe pale juu tulikuwa pamoja kimtizamo kwamba hawaguswi ama hawajaguswa maslahi yao ndio maana wapo kimya au vipi mkuu ?