zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hoja ipi toa mfano wa moja? Hvi mfano serikali inasema tununue ndege kwa CASH wakati inakataza CAG asikague wala tenda zisiwekwe wazi eti wakihoji oooh wanapinga ndege?? Kuna tofauti ya utekelezaji na malengo.upinzani ukageuka na kuwa wakosoaji tena wa zilezile hoja zao
Ndio maana CAG hufanya performance audit maana unaweza tenga hela ya miradi ila isitekelezwe kama inavyoelekezwa. Sasa unataka kusema CAG anapinga maendeleo kisa anahoji utekelezaji?
Kuna shida kubwa sana ya elimu ya Uraia kuelewa kazi za upinzani kama watch dog wa serikali