Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Ona hii ng'ombe! Wakati uchaguzi ukibakwa mlisherekea na kusema wapinzani wauawe, mara wanachelewesha maendeleo. Leo hii bungeni hamna wapinzani mmeguswa kidogo tu mnaaza kuwakumbuka wapinzani mliotaka wapigwe risasi.
Pumbavu nyie, mnataka utetezi wa wananchi utoke nje ya bunge wakati huohuo wabonge wakilipwa hela nyingi na kujilalia tu bungeni.... Safari hii mtatia akili
Pumbavu nyie, mnataka utetezi wa wananchi utoke nje ya bunge wakati huohuo wabonge wakilipwa hela nyingi na kujilalia tu bungeni.... Safari hii mtatia akili