Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Tindo, mimi sijapanick chochote. Mimi ni mkweli daima, kwenye mazuri huwa napongeza na kusifia na kwenye mabaya nakosoa. Sijaingia kwenye kundi la mataga!.Hiki kinachokufanya upanick, ni kwakuwa watu wanahoji mambo ambayo hayapaswi kuhojiwa, bali kuishi kwenye mode ya kusifia tu. Kibaya zaidi hata ww umeingia kwenye huu mkumbo wa kusifia, hivyo yoyote anayehoji ukweli wa ripoti ile ni mzushi.
Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums
Mkuu J Mushi, mimi sitishi mtu na wala hakuna uongo wowote, kwenye hili la sheria mpya ya madini, kiukweli kabisa Magufuli na serikali yake wamefanya vema na sasa Tanzania tunakula bingo ya madini yetu.Wacha kutisha watu, ngoja nitakuonyesha uongo wako na propaganda, ondoa shaka. Kwani hukuona comment yangu kwenye ile thread yako ya “kishika uchumba”? Kwenye mfululizo wa makala zako kuwa serikali imefanya vyema kwenye suala la madini na makampuni husika ya Acacia na Barrick gold.
P