Kwenye mapendekezo 21 ya ripoti ya Kamati ya Professor Osoro, yapi yana ukweli, yapi si ya kweli? Tumeshatekeleza mangapi? Makinikia ilikuwa usanii?

Hiki kinachokufanya upanick, ni kwakuwa watu wanahoji mambo ambayo hayapaswi kuhojiwa, bali kuishi kwenye mode ya kusifia tu. Kibaya zaidi hata ww umeingia kwenye huu mkumbo wa kusifia, hivyo yoyote anayehoji ukweli wa ripoti ile ni mzushi.
Mkuu Tindo, mimi sijapanick chochote. Mimi ni mkweli daima, kwenye mazuri huwa napongeza na kusifia na kwenye mabaya nakosoa. Sijaingia kwenye kundi la mataga!.
Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums
Wacha kutisha watu, ngoja nitakuonyesha uongo wako na propaganda, ondoa shaka. Kwani hukuona comment yangu kwenye ile thread yako ya “kishika uchumba”? Kwenye mfululizo wa makala zako kuwa serikali imefanya vyema kwenye suala la madini na makampuni husika ya Acacia na Barrick gold.
Mkuu J Mushi, mimi sitishi mtu na wala hakuna uongo wowote, kwenye hili la sheria mpya ya madini, kiukweli kabisa Magufuli na serikali yake wamefanya vema na sasa Tanzania tunakula bingo ya madini yetu.
P
 
Huu utaratibu mpya wa members kuanzisha threads with just sweeping statements with no reference no proof, inaendelea kushika kasi humu jf, ukiweza kuthibitisha uongo ni upi na propoganda ni zipi, utakuwa umeisaidia sana jf.
P
Umeona “reference and proof”? Umeona uongo ulipo na zipi ni propaganda?
 
Wote waliotajwa kama walichunguzwa na kukutwa hawana hatia, huo ni udhibitisho kuwa ripoti ile ilikuwa na uongo mwingi. Nakumbuka rais aliagiza wote waliotajwa kwa majina ndani ya ripoti ile kama Karamagi, Yona, Chenge nk, wakamatwe kwa uchunguzi, lakini hilo halikutokea. Na kama ni uchunguzi, basi ulikuwa uchunguzi wa kukidhi matakwa ya kisiasa.

Hiki kinachokufanya upanick, ni kwakuwa watu wanahoji mambo ambayo hayapaswi kuhojiwa, bali kuishi kwenye mode ya kusifia tu. Kibaya zaidi hata ww umeingia kwenye huu mkumbo wa kusifia, hivyo yoyote anayehoji ukweli wa ripoti ile ni mzushi.
Mkuu, huyu pamoja na wengi sana, ndo walitumika kudanganya umma wa watanzania kuwa Lissu ni msaliti!🤦🏾‍♂️

Sasa niwaombe wale wana JF wote waliokuwa wakimuita Lissu ni msaliti, waje hapa! Mimi nitaanza na Kawe Alumni, kipara kipya kwasasa, kadri nitakavyoendelea kuwakumbuka, basi nita wa tag!
 
Ni wapi unaweza kunionyesha kuwa Barrick ama Acacia, walikubali kulipa kishika uchumba kwasababu walikubaliana na serikali kuwa wanachukuwa makinikia kinyume cha sheria?

Walipoamuwa kulipa hicho mlichoshangilia kama “kishika uchumba”, ni kwasababu tu hisa zilikuwa zina endelea kushuka thamani kwasababu tu taarifa za makinikia kuzuiwa, na siyo kwasababu ni halali kuyazuia makinikia. Huu ndo ukweli.

Mengine yote ni uongo na propaganda! Hakuna lolote hapo. Labda tungezungumzia kuhusu shares za kampuni ya “Twiga”, ambapo pia munasema uongo kuwa share ni 50/50! Hili siyo kweli, kampuni ya serikali ya Twiga, ina share za asilimia 16 kwenye kila mgodi unaomilikiwa na Barrick. Lakini kwenye masuala ya kiuchumi na management ndo wako 50/50.

Tusiandike kwa propaganda.
Hii issue ya makinikia ni ngumu kueleweka kwa wenzetu wengi haswa ukizingatia levels za uelewa wa Watanzania walio wengi kwa issue ngumu zikoje. Watanzania tuko too simple, this issue is complex!.
  1. Kwenye makubaliano yale hakuna tena makosa wala mkosaji, it's a win win situation.
  2. Hakuna yoyote aliyesema shares zetu ni 50%. Shares zetu ni 16%, shares zao ni 84%, ila tutagawana manufaa ya Kiuchumi 50%/50%.
P
 
Wataje hapa na vyeo vyao!
Great minds discuss ideas not watu. Tusijadili watu, nimekueleza uchunguzi umefanyika watu wameshitakiwa na wamekutwa na hatia na wamehukumiwa.

Unaonyesha wewe sio mfuatiliaji mzuri wa issue hizi, ungekuwa ni mfuatiliaji wa hizi issues, ungelijua maana kila kitu kiliripotiwa kwenye media.
P
 
Samahan mkuu.. unaweza kunipatia sababu ya zile contena za makinikia kuzuiwa hadi leo pale tics?
 
Great minds discuss ideas not watu. Tusijadili watu, nimekueleza uchunguzi umefanyika watu wameshitakiwa na wamekutwa na hatia na wamehukumiwa.

Unaonyesha wewe sio mfuatiliaji mzuri wa issue hizi, ungekuwa ni mfuatiliaji wa hizi issues, ungelijua maana kila kitu kiliripotiwa kwenye media.
P

Ripoti iliyowataja wezi ilikuwa mubashara na promo kubwa, inakuwaje hatua zichukuliwe kwa wezi kwa sauti ya chini? Paskali hatua wanazochukuliwa watu waliosababisha hasara ya $190b, haiwezi kuwa kwa uzito mdogo hivyo. Ni kweli ripoti ilikuwa na mambo fulani ya msingi, ila uwongo ulikuwa mwingi.
 
Mkuu Tindo, mimi sijapanick chochote. Mimi ni mkweli daima, kwenye mazuri huwa napongeza na kusifia na kwenye mabaya nakosoa. Sijaingia kwenye kundi la mataga!.
Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums

Mkuu J Mushi, mimi sitishi mtu na wala hakuna uongo wowote, kwenye hili la sheria mpya ya madini, kiukweli kabisa Magufuli na serikali yake wamefanya vema na sasa Tanzania tunakula bingo ya madini yetu.
P

Ni kweli kabisa hujaingia kwenye kundi la Mataga, maana wale wameshikiwa akili jumla, ila na ww ni sawa na kenge kwenye msafara wa mamba.
 
Ripoti iliyowataja wezi ilikuwa mubashara na promo kubwa, inakuwaje hatua zichukuliwe kwa wezi kwa sauti ya chini? Paskali hatua wanazochukuliwa watu waliosababisha hasara ya $190b, haiwezi kuwa kwa uzito mdogo hivyo. Ni kweli ripoti ilikuwa na mambo fulani ya msingi, ila uwongo ulikuwa mwingi.
Hakuna hasara yoyote ya $190!, ndio maana tumelifuta hilo deni.
Mkuu, huyu pamoja na wengi sana, ndo walitumika kudanganya umma wa watanzania kuwa Lissu ni msaliti!🤦🏾‍♂️
Mtu anayemzungumzia Lissu hivi, anaweza kumuita Lissu msaliti?
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
P
 
Mkuu, huyu pamoja na wengi sana, ndo walitumika kudanganya umma wa watanzania kuwa Lissu ni msaliti!🤦🏾‍♂️

Sasa niwaombe wale wana JF wote waliokuwa wakimuita Lissu ni msaliti, waje hapa! Mimi nitaanza na Kawe Alumni, kipara kipya kwasasa, kadri nitakavyoendelea kuwakumbuka, basi nita wa tag!
Kawe Alumni na wenzake walikuwa sawa. Sababu Lissu alikuwa anasema kama Tanzania itatengeneza sheria ambayo itafanya marekebisho kwenye mikataba ya uchimbaji madini Tanzania itashitakiwa MIGA. Kwa hiyo haiwezi kufanikiwa. Lakini kuna sheria ilitengenezwa mwaka 2017(jina kapuni) na mikataba inaweza kubadilishwa na hata kujadiliwa bungeni.
Ndio maana sasa tuna Twiga minerals gold ltd . Tanzania ikiwa na 16% shares na wao Barrick 84% shares na kwa kuwa bado smelter haijajengwa hapa Tanzania makinikia yanasafirishwa na Tanzania ni mnufaika.
Lissu sio mzalendo alikuwa anawatetea Accacia waendelee kutunyonya.
 
Sasa mbona unahamisha magoli? Wewe huoni ndo maana hawaji hapa waliokuwa wakisema ni msaliti?

Hapa unazungumzia makinikia?

Na kishika uchumba ni kwasababu gani? Kwanini kipungue kwa trillions?

Suala mlilosema kuwa kuna madini kwenye makinikia ni kweli?

Barrick hawa kwenda MIGA, kwasababu gharama walizoambiwa walipe kwa kukwepa kodi, ni ndogo kuliko zile zilizosemwa na Osoro.

Kuhusu Twiga, hiyo ni kwenye management, kwenye share ndo hiyo 16% kwa kila mgodi. Ninyi mlidanganya kuwa sasa tuko share 50/50.

Lissu hakutetea Acacia, bali aliweka angalizo kuhusu kucheza na mikataba ambayo ni wao ccm wamesaini! Sasa rais ajifananishe na kujilinganisha na hao waliopita, ambao kamati imependekeza wengine washitakiwe! Acheni usanii!
 
Great minds discuss ideas not watu. Tusijadili watu, nimekueleza uchunguzi umefanyika watu wameshitakiwa na wamekutwa na hatia na wamehukumiwa.

Unaonyesha wewe sio mfuatiliaji mzuri wa issue hizi, ungekuwa ni mfuatiliaji wa hizi issues, ungelijua maana kila kitu kiliripotiwa kwenye media.
P
Sijadili mtu, nimeuliza majina ya waliotumbuliwa! Sasa kutaja waliofukuzwa baada ya mapendekezo ya kamati ni kujadili watu?
 
Sasa mbona unahamisha magoli? Wewe huoni ndo maana hawaji hapa waliokuwa wakisema ni msaliti?

Hapa unazungumzia makinikia?

Na kishika uchumba ni kwasababu gani? Kwanini kipungue kwa trillions?

Suala mlilosema kuwa kuna madini kwenye makinikia ni kweli?

Barrick hawa kwenda MIGA, kwasababu gharama walizoambiwa walipe kwa kukwepa kodi, ni ndogo kuliko zile zilizosemwa na Osoro.

Kuhusu Twiga, hiyo ni kwenye management, kwenye share ndo hiyo 16% kwa kila mgodi. Ninyi mlidanganya kuwa sasa tuko share 50/50.

Lissu hakutetea Acacia, bali aliweka angalizo kuhusu kucheza na mikataba ambayo ni wao ccm wamesaini! Sasa rais ajifananishe na kujilinganisha na hao waliopita, ambao kamati imependekeza wengine washitakiwe! Acheni usanii!
Kuhusu kuwa na madini kwenye makinikia ni swala ambalo halihitaji hata shule. Ndio maana yale makontena yalikuwa yanasafirishwa na Accacia kwa ulinzi mkali. Na sio kwamba kulikuwa na Copper concetrate pekee kama walivyosema. Kulikuwa na madini mengi tu.
Pia usichanganye kishika uchumba na kodi ambayo ndio ilikuwa ni trillions.
Kwa hiyo fuatilia kwa umakini ili utofautishe haya.
Bado nasiditiza Lissu ni msaliti maana alikuwa anasema serikali haiwezi kubadili mikataba ya uchimbaji madini hapa Tanzania. Na alienda mbali na kusema madini haya sio mali ya watanzania tena. Kwa hiyo Kawe Alumni na wenzake walikuwa sawa kumuita msaliti. Maana mikataba imebadilishwa kwa manufaa ya Tanzania.
 
Hii issue ya makinikia ni ngumu kueleweka kwa wenzetu wengi haswa ukizingatia levels za uelewa wa Watanzania walio wengi kwa issue ngumu zikoje. Watanzania tuko too simple, this issue is complex!.
  1. Kwenye makubaliano yale hakuna tena makosa wala mkosaji, it's a win win situation.
  2. Hakuna yoyote aliyesema shares zetu ni 50%. Shares zetu ni 16%, shares zao ni 84%, ila tutagawana manufaa ya Kiuchumi 50%/50%.
P
Issue ya makinikia ni ngumu kivipi kueleweka? Hakuna ugumu wowote! Mimi naelezea kwa njia rahisi kabisa.

Afadhali sasa, maana mlikuwa mnasema ni share 50/50. Ni sawa tu na ile kauli ya uchumi wa chini kati. Lakini mnasema uchumi wa kati.

Kuhusu “hakuna makosa wala mkosaji”, una maana hakuna msaliti?
 
Back
Top Bottom