Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Nimejaribu kutafuta uzi unaongelea sex prombems hapa jukwaani sijapata majibu ya kuridhisho hivyo basi.
Moja kwa moja nigusie mada yenyewe kuna jambo linalitatizo pindi niwapo faragha na mwenza hasa napofika mshindo nikiangalia mbegu zangu huwa nyingi zinatoka nje y 'K hivi nauliza ni jambo la kawaida au ni tatizo!?
Tuna miezi miwili nimesex nae mara 6 mpk 7 hali ni hiyo.