Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Huwezi kugonga Mwanamke hata kwao hujajitambulisha kama dozi ya kutwa mara tatu....Hata yeye tu kazidisha Huwezi kuwa na miezi miwili mmekutana mara Saba Huo ni uchu mkuu
Yani haisadii kitu Bora tu ubane mpaka uolewe ntakuelewa lkn unatoa kwa kupima kisa hajajitambulisha inabadirisha nini ukitoa hiyo kitu umetoa kiroho Safi tu,kuhusu uchu sidhani kama Kuna shida mtu kuwa na uchu na mwenzie Yani Kama mnauchu tumianeni vizuri tu maana Kuna muda unaweza kufika mkatafuta uchu na msiupatee
 
Back
Top Bottom