Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Yani haisadii kitu Bora tu ubane mpaka uolewe ntakuelewa lkn unatoa kwa kupima kisa hajajitambulisha inabadirisha nini ukitoa hiyo kitu umetoa kiroho Safi tu,kuhusu uchu sidhani kama Kuna shida mtu kuwa na uchu na mwenzie Yani Kama mnauchu tumianeni vizuri tu maana Kuna muda unaweza kufika mkatafuta uchu na msiupatee
Duuuh!Kwa hiyo unashauri nikiamua kutoa nitoe bila kipimo?
 
Wakina nani wanasemaga??
Kuna siku nilikuwa napata kahawa kwenye kijiwe flani hivi pale Karibu na Nyerere square nikasikia Mzee mmoja mwenye asili ya Asia,akilalamika Kwa Nini Pweza hawapo Huo mkoa....ndio akatoa maelezo ya kina....kwani we Hujawahi sikia?
 
Nimejaribu kutafuta uzi unaongelea sex prombems hapa jukwaani sijapata majibu ya kuridhisho hivyo basi.

Moja kwa moja nigusie mada yenyewe kuna jambo linalitatizo pindi niwapo faragha na mwenza hasa napofika mshindo nikiangalia mbegu zangu huwa nyingi zinatoka nje y 'K hivi nauliza ni jambo la kawaida au ni tatizo!?

Tuna miezi miwili nimesex nae mara 6 mpk 7 hali ni hiyo.
Njia nyepes ya kugundua kama una mbegu bora fanya unavyojua then mwaga sperm kwenye chombo chenye maji saf zikielea jua hpo hazna nguv ila zikikaa chin ya maj hpo zpo vzur
 
Kuna siku nilikuwa napata kahawa kwenye kijiwe flani hivi pale Karibu na Nyerere square nikasikia Mzee mmoja mwenye asili ya Asia,akilalamika Kwa Nini Pweza hawapo Huo mkoa....ndio akatoa maelezo ya kina....kwani we Hujawahi sikia?
Hao ni wazee wale walio kuja na mama kutoka kizimkazi...😂
Anyways, hiyo pweza anapatikana sana nyakati za jioni pape 4 Ways Bar kwa nje, njia panda ya kuelekea nala na Nkuhungu kama unatokea mjini
 
Back
Top Bottom