Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Kikikutana na kina kirefu unakuwa mtihani mkuu🤣🤣🤣
Ila mnakuwaga watundu sana wenye vibamia mnahakikisha mdada anafika kabisaa kwenye foreplay Ikwa namna yeyote Ile Ili kuficha aibu ya kuelea,au mtaalamu Glenn ana la kuongeza?
 
Hiyo haiimarishi Bali inabomoa, kwasababu atamzoea haraka na kuona hakuna jipya, kingine mwanamke anakuwa sio mtamuu, kwa sababu hakupumziki kujitengeneza, ni hasara kwa mwanamke akiachwa atafikiria alivyotumika kwa kiwango cha lami.

Atakuja hapa siku zijazo kusema huyu mwanamke simuelewi
Kwa hivi vibamia na dk 2 charii ndiyo kubomoe kitu ambacho Mungu aliumba na mtoto apite sio kweli ndiyo Mana unaambiwa hakuna makombo kulee ukimuacha wewe akipenda kwa kwingine mpyaaa
 
Umetisha mkuu miezi 2 mara 7
Mwenzio huku ana miaka 2 kala mara 4

Yaani ni mwanzo wa mwaka na mwisho wa mwaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom