Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Mingi sana hiyo kama miezi miwili wamefanya mara 7 kwa miezi sita watakuwa wamefanya mara 28, kwa wastani kila baada ya siku sita wanafanya kwa watu ambao hawaishi pamoja ni kiwango kikubwa sana, kwa haraka haraka mwanamke ni dada wa nyumbani hana shughuliTumpe miezi sita huyu mwenzetu atakuwa hoi sana na huyo mwanamke