Kwenye mapenzi hivi vitu viwili havifundishiki

Wengine wamezidi KUBWETEKA!!! Eti kagundua KE si mwaminifu anakuja humu kuomba ushauri!!!!
Yaani kweli watu wamefikia kuwa hawawezi kufanya maamuzi muafaka wenyewe hadi waje mitandaoni!? Aendelee naye hadi aletewe gonjwa la zinaa au abambikiwe mimba. Yaani inashangaza sana kuona watu walivyo wazito kufanya maamuzi.

 
Mkuu sio kwamba hawawezi kufanya maamuzi tatizo mapenzi ni hisia!,kimantiki anataka kumuacha ili kihisia anashindwa!.
Penzi la hivyo hufikia mtu mwenyewe anachoka na kuamua kuacha japo si wote wengine huchukua hatua mbovu za kujiua au kuua!..
Hili swala usiliangalie kama komandi bali liangalie kama saikolojia,huwezi mtaka mtu au kumkomandi mtu alie na njaa ya tamaa kwa mtu fulani amuache ni ngumu,watu wa namna hii ni muhimu kuwapa ushauri wa namna ya kujilinda, you know what hata ktk swala la ngono inaeleweka kabisa kuna magonjwa ya zinaa na ni hatari ila wataalum hawajawaambia watu waache ngono coz wanajua ni ngumu ila wameleta njia za kujilinda.

Ikifika hatua ya kuacha ataacha yeye mwenyewe hata bila ya kuleta mjadala ila kwa kipindi hiki itabidi ajilinde sana,hata humu sema tu watu wanafichana usikute Kuna watu wameshawafumania watu wao ila hawajaachana!..😂
Mapenzi ni ugonjwa wa kisaikolojia mkuu.
 
Ikifika hatua ya kuacha ataacha yeye mwenyewe hata bila ya kuleta mjadala ila kwa kipindi hiki itabidi ajilinde sana,hata humu sema tu watu wanafichana usikute Kuna watu wameshawafumania watu wao ila hawajaachana!..[emoji23]
Mapenzi ni ugonjwa wa kisaikolojia mkuu[emoji374][emoji19]
 
Kaka sema kitu.. Kuna kipi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…