Kwenye martial arts movies hakujawahi kuwa na fight scene bora kama hii

Shida ya Jet Li, ni yale mambo yake ya kupaa. Sawa ni maigizo, lakini kuwepo na ka uhalisia kidogo basi. Hii ya mtu kusimamisha nywele huwa inakata stimu brother!
The body guard from Beijing.

Halafu kuna moja nimeisahau jina Jet anapigana na jamaa amevaa Kombat ya jeshi

Halafu kuna Tai Chi pale mwishoni

Pia kuna nobody scene ndani ya train

Halafu msimsahau John wick nadhani kwa Sasa atakuwa anaongoza pia na M.I
 
Kuna kitu kinaitwa my father is a hero au bkackmask
 
Halafu unakuta mtu.anakwambia extraction in best fighting scene.huwa nacheka nanyamaza
 
Tony jaa na Jacky Wu jing walivunjiwa heshima Sana humo dah๐Ÿค”
 
Kaka kweli fight scene bora unazijua. Unajua Tony Ja huwa ashindwagi lakini kwenye hii movie kwa huyu mwamba alikubali๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Kaka kweli fight scene bora unazijua. Unajua Tony Ja huwa ashindwagi lakini kwenye hii movie kwa huyu mwamba alikubali[emoji38][emoji38]
Hii scene huwa siichoki. Kila baada ya muda huwa naingia YouTube kuicheki. Waliitendea haki asee!


Tony Ja nadhani ni mara mbili tu ndio amekutana na visiki visivyopigika. Ukiachana na hii, kuna ile scene nadhani ni ong back 4, anapigana juu ya tembo na kale kajamaa kenye nguo nyeusi na mapigo ya kunguru. Pale napo alichapika haswa!
 
IP man zote

Unajua IP man 3 Ile scene don yen anachaoana na Mike Tyson

China sales man scene Tyson Vs Steven seagal

Don yen Vs Adkins IP man 4
Don yen Vs max Zhang IP man 4 [emoji91][emoji91][emoji91]

Max Zhang Vs Tony jaa & Wu Jing (jack Wu) SPL 2

KILL them em ( final scene)

Night come for us ( iko uwais Vs Joe taslim ) [emoji91][emoji91][emoji91]

The raid part one ( iko uwais Joe taslim Vs yayan ruhian the mad dog ) hawa viumbe wanapiga ngumu bila computer

Bila kumsahau Mzee Michael jai white kwenye undisputed alitisha Sana na never back down

Na Mzee wet Sam hung kwenye the boardguard [emoji91]
 
Jackie Chan ndo huwa ana scene Bora Sana aisee , ngumi za maana alaf no double standard , funny moment pia , jamaa yupo vizur Sana , jetli pia yupo vyema Ila huwa namuona ana double standard nyingi , yaan yeye ni kushinda tuu
 
Afu kwa sasa mi naona hizi za japan na China zinamkono sio wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ