Kwenye martial arts movies hakujawahi kuwa na fight scene bora kama hii

Kwenye martial arts movies hakujawahi kuwa na fight scene bora kama hii

The Bodyguard ya ukweli hii hapa ya 2016,,Ina mkono wa hatari[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Screenshot_20221231-070827.jpg
 
Kuna movie mnaweza mkawa mmeisahau lakini mkono wa mule ndani acha kabisa. Ngoma inaenda kwa jina la THE TRUE LEGEND ikiongozwa na Sue Can, Yuan Lie na Yuan Ying bila kumsahau Little Feng katoto kake. Ile scene anayopambana na Yuan Lie na ile ya mwisho kabisa na lile zungu jina nimelisahau wacha kabisaaaa. Itafuteni wadau
 
Back
Top Bottom