Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Hapo unampoteza mwenzio. Ukubwani ndugu huwa hawaaminiki kabisa, kila mtu ana changamoto zake ukimweka kwenye urithi wako utashangaa, anaweza kupita na wewe halafu hata watoto wako wasiambulie chochote. Nimeona cases nyingi za ndugu waliodhulumu haki za watoto wa ndugu zao wa damu kabisa.Nenda uombe mkataba wako ufanye amendment kidogo na wewe badilisha weka hata mdogo wako tena wifi yake.
Ngoma iwe draw, wanaita Ngoma ngondoigwa