HSIRAJI
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 745
- 1,550
Mbwa kamla mbwa kitaalamu inaitwa hyoNenda uombe mkataba wako ufanye amendment kidogo na wewe badilisha weka hata mdogo wako tena wifi yake.
Ngoma iwe draw, wanaita Ngoma ngondoigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa kamla mbwa kitaalamu inaitwa hyoNenda uombe mkataba wako ufanye amendment kidogo na wewe badilisha weka hata mdogo wako tena wifi yake.
Ngoma iwe draw, wanaita Ngoma ngondoigwa
Hili nalo la kuomba ushauri kama mlishakubaliana mbadilishe yeye bado akagoma. Trust me hiyo will ya kufanya ivoo imebarikiwa na wakwe.
Huyo hakufai kuligundua hilo mpaka uje upigike haswa mfano kupoteza kazi maana hamna mwili mmoja tena hapo.
Anyway Piga chini au ishi nae kimkakati
Japo tulikubalian yeye aniandik namimi nimuandike.Angekataa tangu mwanzo basAcha amjengee kwani Ni mume ndio kamsomesha acheni ujinga Sasa mume anajenga kwako kwa wazaz wake Kama fadhila ila mke akijenga inakuwa nongwa
Mm nadhni mke Yuko sahih kwa kumjali Bab ake Kwanza zilioni shida kbsa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Japo tulikubalian yeye aniandik namimi nimuandik yeye.Angekataa bas tang mwanzoAcha amjengee kwani Ni mume ndio kamsomesha acheni ujinga Sasa mume anajenga kwako kwa wazaz wake Kama fadhila ila mke akijenga inakuwa nongwa
Mm nadhni mke Yuko sahih kwa kumjali Bab ake Kwanza zilioni shida kbsa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Japo tulikubalian yeye aniandik namimi nimuandik.Angekataa bas tangu mwanzoAcha amjengee kwani Ni mume ndio kamsomesha acheni ujinga Sasa mume anajenga kwako kwa wazaz wake Kama fadhila ila mke akijenga inakuwa nongwa
Mm nadhni mke Yuko sahih kwa kumjali Bab ake Kwanza zilioni shida kbsa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimuulize?Hili nalo la kuomba ushauri kama mlishakubaliana mbadilishe yeye bado akagoma. Trust me hiyo will ya kufanya ivoo imebarikiwa na wakwe.
Huyo hakufai kuligundua hilo mpaka uje upigike haswa mfano kupoteza kazi maana hamna mwili mmoja tena hapo.
Anyway Piga chini au ishi nae kimkakati
Sawa mkuuSasa cha ajabu nini?? Ni wapi uliona mwanamke anamweka mume kama mrithi my friend. Mimi ni mtumishi sijawahi kuona.. Hata uwaaulize au kuwashauri huwezi kubadirisha hiyo mitazamo yao..
So why ukae uumize kichwa kwa vitu none sense. Unajua wazi kwa nini huwa wanafanya hivyo. Kwa hiyo usiumize kichwa. Au una uhakika atatangulia kufa yeye? If not why bother?
Wote ndio Hali hiyo hiyo na maisha ya naendelea tena kwa furaha na Amani.
Kwani akitangulia wewe utashindwa kutunza watoto mpaka uwe concern na nini aliandika?
Baada ya kifo wanaotesekaga ni wajane (Wanawake) na sio wagane.
Mwanamke anaamini yeye akifa utaoa mke mwingine ambaye ndiye atakayekuja kula vyote alivyochuma au mlivyochuma pamoja na atawanyanyasa watoto wake aliowaacha.... Na wanaona mifano hai kila siku na ni kweli.
Sasa utatumia mbinu ipi kumwaminisha kuwa kwako haitakuwa hivyo?
Kumbuka mwanaume ndio mwenye maamuzi ya kuoa au kuto oa.. Tofauti na mwanamke akifiwa kuolewa ni ngumu sana Maana Hana maamuzi juu ya mwanaume. Labda achukue viserengeti. Ingawa wapo wachache wanao olewa tena.
So relax chapa kazi, lea familia achana na hivyo vitu vidogo kama you're machured enough kwenye ndoa.
Jenga future bora ya familia yako hata usipo kuwepo una uhakika hakuna kikaragosi kutoka kwenye ndugu zako atakae ingilia future na rasilimali ulizoacha vinginevyo usipoteze muda na akili.
Wanaume ndio tunaopaswa kujenga Mifumo ya kuaminika na wenzi wetu vinginevyo mtaishia kuharibu ndoa.
Njia ya kwanza ni kudhihirisha kwa vitendo kuwa huna na huhitaji chochote chake(isipokuwa responsibilities za kawaida kwenye family, mahitaji, maendeleo, Ada etc.) lakini Mali no no.. Jinsi ambayo utakuwa huonyeshi interest kwenye maeneo hayo ndivyo atakavyo kuamini na kukabidhi mwenyewe Mali na mirathi.
Kadiri unavyoonesha interest kwenye vitu hivyo ikiwemo mirathi uliyo Sema ndivyo atazidi kuikimbiza mbali nawe Maana ni Ishara ya kutoaminika.
Be Gentle man my friend utaishi kwa raha, Amani na furaha na mkeo.
Unajiangaisha bure tu, wewe ndio utaanza kufa na yeye ndio mrithi hata usipomuandika kwenye makaratasi, mahakamani mirathi atapewa mke wako na watoto.Japo tulikubalian yeye aniandik namimi nimuandik yeye.Angekataa bas tang mwanzo
Kwamba wazaz wake watamsubir afe ili wawe matajir kw urithi mkuu?Sababu ni umasikini wa familia yao, naamini huyo mke we kwao wangekuwa wana mzuri wazazi wake wana jiweza'' naamin ange waandika watoto na mumewe, lakini haiwezekani mwanamke kwao choka mbaya wazazi hawana vipato na wapo vijijini na wanamtegea mtoto wao.
Wanawake ni wabinafsi sana na kamwe hawawezi kukusaidia lolote yuko radhi mlale njaa ila kwenye mkoba wake kuna maburungutu.Salaam kwenu,
Niko kwenye ndoa mwaka wa8 saivi na tumejaaliwa kuwa na watoto wawili. Mimi namwenzangu tumeajiriwa Kwenye taasisi moja ya umma japo kwenye vituo tofauti.
Mwezi huu kukatokea agizo lakuhuisha taarifa za wafanyakazi ili ziwe za kisasa na halisia kuliko mwanzo.
Zoezi hili lilihusisha urekebishaji wa baadhi ya taarifa zilizopo kwenye mikataba ya wafanyakazi ambayo waliijaza walipoajiriwa.
Kwa kuwa wakati tunaanza kazi hatukuwa na familia, sehemu ya warithi Kwenye mikataba tulikuwa tumeweka wazazi na ndugu zetu. Sasa kutokana nakuwa na familia tulichopanga mimi na mwenzangu nikwamba kwenye maboresho tujiandike sisi wenyewe Kama warithi wakwanza pamoja na watoto wetu.Mimi kwenye mkataba nikamweka mke na watoto wangu Kama tulivyokubaliana.
Nimekuja kushtuka baada ya kuona mkataba wa mke wangu ambapo yeye kamwandika baba yake mzazi pamoja na watoto. Mimi hakuniandika kabisa.
Mkataba wake nimefanikiwa kuuona baada ya kuongea namhusika aliyekuwa anaikusanya Kisha kuipeleka sehemu husika.Hadi saivi mke hajui kwamba nimegundua kitendo hicho.
Najiuliza,hili tukio mke kalifanya kwa makusudi au bahati mbaya.
Au kitaalam sio lazima mwanamke kumwandika mumewe Kama mrithi?
Je, niendelee kujifanya sijui au nimuulize nijue nia yake yakufanya hivyo?
Wasalaam!
Nia yake (ovu) ipo wazi kabisaa. Ikitokea bahati mbaya akatangulia mbele za haki anaamini kabisa mafao yake utayatapanya na pisi nyingine utakayoioa. Yaani anamuonea wivu mkeo mtarajiwa. Wivu mpaka kaburini!Je, niendelee kujifanya sijui au nimuulize nijue nia yake yakufanya hivyo?
Nihisia tu zilinijia nikataka kujiridhisha alichojaza mwenzanguMkuu ukiwa na mtazamo huu, ndoa haitofika mbali.
Lazima kuwe na kushirikishana katika hayo, mfanye maamuzi kwa pamoja.
Ukiangalia hapo, mtoa mada kasema wazi walishakubalia nini cha kufanya, ila mke kaleta janja janja na kumzunguka jamaa.
Hilo tu linaweza leta mpasuko sababu hakuna uaminifu hebu.
Swali kwa mtoa mada: ilikuaje ukapata wazo la kukagua karatasi yake? Ana historia ya janja janja?
Sasa si atamuuliza umejuaje? Maana yake kuna mtuKAA CHINI UMUULIZE SABABU YA YEYE KUFANYA HIVYO, UTAPATA MAWILI MATATU
Hao wanyakyusa hahaha jombaa pole sana hao hawajui kukataa uliza tulioishi unyakyusani...😂😂😂😂Duh haya Maisha tunatofautiana sana, hakika nimekuja kugundua wanawake wa kuoa Ni wanyakyusa , Ni watiifu sana kwa waume zao na wanapenda sana kutengeneza familia , no matter Ana pesa kiasi gani, Nina mifano miwili niliyoshuhudia , wa kwanza Ni kwa mke wangu, yeye hata kadi ya benki hajui iko wapi, na sifahamu Mara ya mwisho kuishika ilikuwa Ni lini, maana Mimi ndo naimiliki, Wala sio kwa ubabe wangu, la hasha ni mahaba na utashi wake.
Mfano wa pili ni mwanamke ambaye Ni office mate wangunaye Ni mnyakyusa, anampenda sana jamaa yake(mme,)licha ya kwamba mme wake ni mtu wa vidosho, lakini huwezi mwambia amuache, kaenda benki kachukua mkopo na kumnunulia pikipiki ili Bwana mkubwa alilaksi,na hapa Naona kachukua Tena mkopo wanajenga
Sasa Mimi huwa nashanga watu wanaosema kuooa wanawake wafanyakazi Ni changamoto, Mimi has sio kweli, Bali inategemeana na Sina ya mwanammke uliyenaye
Pongezi ziende kwa mabinti wa kinyakyusa!!!!