Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Hapo unampoteza mwenzio. Ukubwani ndugu huwa hawaaminiki kabisa, kila mtu ana changamoto zake ukimweka kwenye urithi wako utashangaa, anaweza kupita na wewe halafu hata watoto wako wasiambulie chochote. Nimeona cases nyingi za ndugu waliodhulumu haki za watoto wa ndugu zao wa damu kabisa.Nenda uombe mkataba wako ufanye amendment kidogo na wewe badilisha weka hata mdogo wako tena wifi yake.
Ngoma iwe draw, wanaita Ngoma ngondoigwa
Kwahiyo amuamini mke ambaye anaenda nje ya makubaliano yao??Hapo unampoteza mwenzio. Ukubwani ndugu huwa hawaaminiki kabisa, kila mtu ana changamoto zake ukimweka kwenye urithi wako utashangaa, anaweza kupita na wewe halafu hata watoto wako wasiambulie chochote. Nimeona cases nyingi za ndugu waliodhulumu haki za watoto wa ndugu zao wa damu kabisa.
Mmefunga ndoa ya kanisani?Salaam kwenu,
Niko kwenye ndoa mwaka wa8 saivi na tumejaaliwa kuwa na watoto wawili. Mimi namwenzangu tumeajiriwa Kwenye taasisi moja ya umma japo kwenye vituo tofauti.
Mwezi huu kukatokea agizo lakuhuisha taarifa za wafanyakazi ili ziwe za kisasa na halisia kuliko mwanzo.
Zoezi hili lilihusisha urekebishaji wa baadhi ya taarifa zilizopo kwenye mikataba ya wafanyakazi ambayo waliijaza walipoajiriwa.
Kwa kuwa wakati tunaanza kazi hatukuwa na familia, sehemu ya warithi Kwenye mikataba tulikuwa tumeweka wazazi na ndugu zetu. Sasa kutokana nakuwa na familia tulichopanga mimi na mwenzangu nikwamba kwenye maboresho tujiandike sisi wenyewe Kama warithi wakwanza pamoja na watoto wetu.Mimi kwenye mkataba nikamweka mke na watoto wangu Kama tulivyokubaliana.
Nimekuja kushtuka baada ya kuona mkataba wa mke wangu ambapo yeye kamwandika baba yake mzazi pamoja na watoto. Mimi hakuniandika kabisa.
Mkataba wake nimefanikiwa kuuona baada ya kuongea namhusika aliyekuwa anaikusanya Kisha kuipeleka sehemu husika.Hadi saivi mke hajui kwamba nimegundua kitendo hicho.
Najiuliza,hili tukio mke kalifanya kwa makusudi au bahati mbaya.
Au kitaalam sio lazima mwanamke kumwandika mumewe Kama mrithi?
Je, niendelee kujifanya sijui au nimuulize nijue nia yake yakufanya hivyo?
Wasalaam!
Be a man, Stay Taliban[emoji16]Hakuna Utumwa mbaya kama ule wa kujiona upo Free.... NDOA..
Mkuu achana na kufuatilia urithi wa Mkeo,,,,wewe zingatia urithi wako unahitaji kina nani wafaidike nao..
Ila huyo MKE jambo nnaloweza kukuhakikishia ni kuwa yupo na wewe kwa ajili ya maslahi yake....siku ukiyumba kiuchumi hakika utajua hujui,,,,ISHI NAE KWA AKILI NYINGI SANA.... uchunguzi ufanye kwa kuangalia ushiriki wake katika mambo ya msingi ya kifamilia....
Be a Man, Stay Taliban.
Wewe mpuuzi tu. Kama Baba yake alikuwa wa muhimu angalimuoa yeyeAcha amjengee kwani Ni mume ndio kamsomesha acheni ujinga Sasa mume anajenga kwako kwa wazaz wake Kama fadhila ila mke akijenga inakuwa nongwa
Mm nadhni mke Yuko sahih kwa kumjali Bab ake Kwanza zilioni shida kbsa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa ni Mchagga tuI would also do the same, kaona mbali sana, Kongolee kwake
Kifupi, mrithi wako na mkweo..!! Iwe kafanya makusudi au la..!!Salaam kwenu,
Niko kwenye ndoa mwaka wa8 saivi na tumejaaliwa kuwa na watoto wawili. Mimi namwenzangu tumeajiriwa Kwenye taasisi moja ya umma japo kwenye vituo tofauti.
Mwezi huu kukatokea agizo lakuhuisha taarifa za wafanyakazi ili ziwe za kisasa na halisia kuliko mwanzo.
Zoezi hili lilihusisha urekebishaji wa baadhi ya taarifa zilizopo kwenye mikataba ya wafanyakazi ambayo waliijaza walipoajiriwa.
Kwa kuwa wakati tunaanza kazi hatukuwa na familia, sehemu ya warithi Kwenye mikataba tulikuwa tumeweka wazazi na ndugu zetu. Sasa kutokana nakuwa na familia tulichopanga mimi na mwenzangu nikwamba kwenye maboresho tujiandike sisi wenyewe Kama warithi wakwanza pamoja na watoto wetu.Mimi kwenye mkataba nikamweka mke na watoto wangu Kama tulivyokubaliana.
Nimekuja kushtuka baada ya kuona mkataba wa mke wangu ambapo yeye kamwandika baba yake mzazi pamoja na watoto. Mimi hakuniandika kabisa.
Mkataba wake nimefanikiwa kuuona baada ya kuongea namhusika aliyekuwa anaikusanya Kisha kuipeleka sehemu husika.Hadi saivi mke hajui kwamba nimegundua kitendo hicho.
Najiuliza,hili tukio mke kalifanya kwa makusudi au bahati mbaya.
Au kitaalam sio lazima mwanamke kumwandika mumewe Kama mrithi?
Je, niendelee kujifanya sijui au nimuulize nijue nia yake yakufanya hivyo?
Wasalaam!
Kama hiyo aandike watoto tuNenda uombe mkataba wako ufanye amendment kidogo na wewe badilisha weka hata mdogo wako tena wifi yake.
Ngoma iwe draw, wanaita Ngoma ngondoigwa
Mke wako siyo ndugu yako, ndugu zake ni wale watoto mliozaa tu.Salaam kwenu,
Niko kwenye ndoa mwaka wa8 saivi na tumejaaliwa kuwa na watoto wawili. Mimi namwenzangu tumeajiriwa Kwenye taasisi moja ya umma japo kwenye vituo tofauti.
Mwezi huu kukatokea agizo lakuhuisha taarifa za wafanyakazi ili ziwe za kisasa na halisia kuliko mwanzo.
Zoezi hili lilihusisha urekebishaji wa baadhi ya taarifa zilizopo kwenye mikataba ya wafanyakazi ambayo waliijaza walipoajiriwa.
Kwa kuwa wakati tunaanza kazi hatukuwa na familia, sehemu ya warithi Kwenye mikataba tulikuwa tumeweka wazazi na ndugu zetu. Sasa kutokana nakuwa na familia tulichopanga mimi na mwenzangu nikwamba kwenye maboresho tujiandike sisi wenyewe Kama warithi wakwanza pamoja na watoto wetu.Mimi kwenye mkataba nikamweka mke na watoto wangu Kama tulivyokubaliana.
Nimekuja kushtuka baada ya kuona mkataba wa mke wangu ambapo yeye kamwandika baba yake mzazi pamoja na watoto. Mimi hakuniandika kabisa.
Mkataba wake nimefanikiwa kuuona baada ya kuongea namhusika aliyekuwa anaikusanya Kisha kuipeleka sehemu husika.Hadi saivi mke hajui kwamba nimegundua kitendo hicho.
Najiuliza,hili tukio mke kalifanya kwa makusudi au bahati mbaya.
Au kitaalam sio lazima mwanamke kumwandika mumewe Kama mrithi?
Je, niendelee kujifanya sijui au nimuulize nijue nia yake yakufanya hivyo?
Wasalaam!
Umeandika maelezo mengi sana lakini ume-mis main point. Kwa nini wenza wasiaminiane kwenye ndoa? Unajua maana ya ndoa wewe na malengo yako wewe? All in all, thread za aina hii hapa JF zimekuwa nyingi sana. Sijui ni kwa sababu zinapata wachangiaji wengi hivyo watu wanajitahidi kubuni visa vya uongo! Hata kama ni hivyo, bado inaonyesha kuwa kuna tatizo kubwa kwenye ndoa za sasa. Inabidi serikali ilifanyie kazi hili suala kwa kubadilisha sheria na taratibu za ndoa. Kwa mfano katika kila ndoa kuwe na makubaliano maalumu kuhusu mambo mbali mbali na kuwepo na uwezekano wa kuyabadili kwa ruhusa ya wenza wote. Zile zama za kutunga sheria zinazofanana kwenye kila ndoa umepitwa na wakati. Kwa mfano kuwepo na kipengele cha kusema kwenye ndoa kila mwenza atamiliki mali yake na hata ndoa ikivunjika basi hakuna mgao.Sasa cha ajabu nini?? Ni wapi uliona mwanamke anamweka mume kama mrithi my friend. Mimi ni mtumishi sijawahi kuona.. Hata uwaaulize au kuwashauri huwezi kubadirisha hiyo mitazamo yao..
So why ukae uumize kichwa kwa vitu none sense. Unajua wazi kwa nini huwa wanafanya hivyo. Kwa hiyo usiumize kichwa. Au una uhakika atatangulia kufa yeye? If not why bother?
Wote ndio Hali hiyo hiyo na maisha ya naendelea tena kwa furaha na Amani.
Kwani akitangulia wewe utashindwa kutunza watoto mpaka uwe concern na nini aliandika?
Baada ya kifo wanaotesekaga ni wajane (Wanawake) na sio wagane.
Mwanamke anaamini yeye akifa utaoa mke mwingine ambaye ndiye atakayekuja kula vyote alivyochuma au mlivyochuma pamoja na atawanyanyasa watoto wake aliowaacha.... Na wanaona mifano hai kila siku na ni kweli.
Sasa utatumia mbinu ipi kumwaminisha kuwa kwako haitakuwa hivyo?
Kumbuka mwanaume ndio mwenye maamuzi ya kuoa au kuto oa.. Tofauti na mwanamke akifiwa kuolewa ni ngumu sana Maana Hana maamuzi juu ya mwanaume. Labda achukue viserengeti. Ingawa wapo wachache wanao olewa tena.
So relax chapa kazi, lea familia achana na hivyo vitu vidogo kama you're machured enough kwenye ndoa.
Jenga future bora ya familia yako hata usipo kuwepo una uhakika hakuna kikaragosi kutoka kwenye ndugu zako atakae ingilia future na rasilimali ulizoacha vinginevyo usipoteze muda na akili.
Wanaume ndio tunaopaswa kujenga Mifumo ya kuaminika na wenzi wetu vinginevyo mtaishia kuharibu ndoa.
Njia ya kwanza ni kudhihirisha kwa vitendo kuwa huna na huhitaji chochote chake(isipokuwa responsibilities za kawaida kwenye family, mahitaji, maendeleo, Ada etc.) lakini Mali no no.. Jinsi ambayo utakuwa huonyeshi interest kwenye maeneo hayo ndivyo atakavyo kuamini na kukabidhi mwenyewe Mali na mirathi.
Kadiri unavyoonesha interest kwenye vitu hivyo ikiwemo mirathi uliyo Sema ndivyo atazidi kuikimbiza mbali nawe Maana ni Ishara ya kutoaminika.
Be Gentle man my friend utaishi kwa raha, Amani na furaha na mkeo.
Zamani wanawake walikuwa wanapoolewa kunakuwa hakuna hizi rabsha za siku hizi. Ni wakati muafaka wa kubadili sheria za ndoa.Mke wako siyo ndugu yako, ndugu zake ni wale watoto mliozaa tu.
Acha kuwaza vitu havina kichwa wala miguu.
Cc: Liverpool VPN deker one deker one, one man down copy that?
Kama unaweza badili taarifa mchomoe muweke mama yako.Salaam kwenu,
Niko kwenye ndoa mwaka wa8 saivi na tumejaaliwa kuwa na watoto wawili. Mimi namwenzangu tumeajiriwa Kwenye taasisi moja ya umma japo kwenye vituo tofauti.
Mwezi huu kukatokea agizo lakuhuisha taarifa za wafanyakazi ili ziwe za kisasa na halisia kuliko mwanzo.
Zoezi hili lilihusisha urekebishaji wa baadhi ya taarifa zilizopo kwenye mikataba ya wafanyakazi ambayo waliijaza walipoajiriwa.
Kwa kuwa wakati tunaanza kazi hatukuwa na familia, sehemu ya warithi Kwenye mikataba tulikuwa tumeweka wazazi na ndugu zetu. Sasa kutokana nakuwa na familia tulichopanga mimi na mwenzangu nikwamba kwenye maboresho tujiandike sisi wenyewe Kama warithi wakwanza pamoja na watoto wetu.Mimi kwenye mkataba nikamweka mke na watoto wangu Kama tulivyokubaliana.
Nimekuja kushtuka baada ya kuona mkataba wa mke wangu ambapo yeye kamwandika baba yake mzazi pamoja na watoto. Mimi hakuniandika kabisa.
Mkataba wake nimefanikiwa kuuona baada ya kuongea namhusika aliyekuwa anaikusanya Kisha kuipeleka sehemu husika.Hadi saivi mke hajui kwamba nimegundua kitendo hicho.
Najiuliza,hili tukio mke kalifanya kwa makusudi au bahati mbaya.
Au kitaalam sio lazima mwanamke kumwandika mumewe Kama mrithi?
Je, niendelee kujifanya sijui au nimuulize nijue nia yake yakufanya hivyo?
Wasalaam!
Nimefurahishwa Na Andiko Lako Nimelipenda SanaSalaam kwenu,

Summary assessment ya kusomesha mtoto private school, Primary school miaka 7 ni million 14, secondary school miaka 4 ni million 20, high school million 10, jumla ni million 44 hayo ni makadirio ya chini nje ya malezi mengine.Wewe mpuuzi tu. Kama Baba yake alikuwa wa muhimu angalimuoa yeye