Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #181
Kipindi Cha nyuma walikuwepo wakutosha na huenda hatukuwa waona Hawa koboko lakini wanakijij walisha wamakoza kabisa Kwa mbwa na kuwafukia kwenye mashimo Yao hatimae kufa. Wanakula sana karanga waleUzuri wa wale wanapenda maeneo ya vichaka , mangroose anaweza kuwakamata na kuwapeleka ila inahitaji gharama wangu wa vijijini wanajua kuwatega , ila 🦡 ni ngumu kumkamata.
Kwa nature ya eneo aliloelezea wanayapenda sana hawa wadudu sidhani kama wanaweza kuhama labda wafukuzwe
Shida anaoneka mstuni tu yaani porini laiti angelionekana maeneo ya wazi angekuwa kama uawa muda sana
Kama sinaga urafiki nao kabisa. HawafaiDah! Mimi na nyoka, hapana aisee. Hao wadudu ninawaogopa mpaka basi.
Nyuki nao wanapenda miti Kwa ajiri ya maua nk. Nadhani njia Bora ni kufyeka baadhi ya miti.Bila kufyeka, kukata na kuchoma moto eneo lote liwe tambarare kusibaki kichaka hata kimoja, hao nyoka hawaondoki. Shuguli za binadamu ndiyo adui mkuu wa nyoka.
Mkuu tumabie hakika hiyo miti inaitwaje na kama ikiwezekana tuma hata picha ulifanikiwa hakikisha una ni QuoteNitatafuta nipost humu, nimewahi kuishi porini katikati ya mlima sikuwahi kuona nyoka sehemu ya makazi ya Watu, Lakini kwenye mlima kila siku Tulikuwa tunapishana nao.
Hadi wenyeji waliponiambia Siri ya miti iliyopandwa kuzunguka Eneo letu la kuishi
Mkuu nisaidie Kwa picha huo mti tafadhariDah! Hebu kumbuka aisee umsaaidie mdau. Ingekuwa ni wale nyoka wanaoingia ndani angelitumia mti wa mwitanjoka (Mkunde pori) (Kwa kuuchoma ndani ya nyumba) au kuchoma asali ya nyuki.
Mti unaotoa harufu mvua ikinyesha labda ni mvunja genge?
Mgodi wa Bulyanhulu Gold mine uliopo kahama kakola wapo ndani ya uzio wakutosha Tena wamezoeana na binadamu. Fanya kuwasiliana na wahusika huenda wakakupa namna ya kuchukua.hawa huchukui hata muda kuwanasa wamezoea binadamu kiasi kwamba unapopita hakupishiNampataje huyu nguchiro
Nimefatilia mkuu aisee nilkuwa sijui sorry sana Kwa kubishia hiliNakuomba uingie google uandike "who is a king of snakes in the world" alafu uone utapata jibu gani.
Dunia nzima nyoka anaeuwa na kumeza nyoka wenzake ni mmoja tu ambae ni King Cobra. King Cobra ni nyoka anaeuwa na kumeza nyoka wa aina yoyote katika dunia hii. Kasoro Chatu tu tena awe mkubwa kuliko saizi ya King Cobra, ndo hawezi kumwezwa. Lakini wengine wote akiwemo huyo black mamba wako, ni chakula chake popote atapokutana nae na sumu yake haimfanyi lolote King Cobra.
huyo hapoBlack mamba 'koboko' mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.
Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi za futari mdomoni.
Usijal mkuu, najua katika dunia ya leo hakuna anaeweza kujua kila kitu. Hata wewe leo kuna vitu ambavyo wewe unavijua, lakini mimi na ujanja wangu wote sivijui. Halikadhalika na mimi kuna vitu navijua lakini wewe na ujanja wako wote hauvijui.Nimefatilia mkuu aisee nilkuwa sijui sorry sana Kwa kubishia hili
Ya nimekiona chakula cha King Cobra mkuu.
Hivi dude kama hili unaanzia wapi kuliua. Daaa!!!
Watu wa kanda ya ziwa sijui huwa wana shid gani. Yani black mamba amepewa story za kutungwa za kichawi kiasi kwamba anaogopeka sana.Black mamba 'koboko' mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.
Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi za futari mdomoni.
Kuna mmama mmoja south africa anamfuga ndani kama paka. Anacheza nae tu.Watu wa kanda ya ziwa sijui huwa wana shid gani. Yani black mamba amepewa story za kutungwa za kichawi kiasi kwamba anaogopeka sana.
Ni nyoka hatari ndio lakini sio kwa hizo mbwembwe anazopewa. Simon Keys anacheza nao kila siku.
Kweli mkuu. Tatizo wengi wamelishwa story za vijiweni na kuziamini bila kuzifanyia tathmini ya kutosha ili kujiridhisha kwanza.Watu wa kanda ya ziwa sijui huwa wana shid gani. Yani black mamba amepewa story za kutungwa za kichawi kiasi kwamba anaogopeka sana.
Ni nyoka hatari ndio lakini sio kwa hizo mbwembwe anazopewa. Simon Keys anacheza nao kila siku.
Huyo nyoka ni hatari kama wengine tu ila story zake za wasukuma ndio zinafanya aonekane ameshindikanaKweli mkuu. Tatizo wengi wamelishwa story za vijiweni na kuziamini bila kuzifanyia tathmini ya kutosha ili kujiridhisha kwanza.
Ni chakula chake.Dah sijapata kufahamu hii.
Kumbe nyani. Anaweza kuwadhibiti nyoka🤔
Ndio.Nyani kwani anakula hao nyoka?