Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

nacho kataa nikuwa cobra wapo humo na ushahidi ni hayo magamba yao pale wanapojivua {sijui kitaalamu} kitendo cha yeye kutoka gamba la juu
King Cobra chakula chake rasmi ni nyoka wenzake.
Na nyoka wote wenye sumu kali wanaliwa vizuri tu na Cobra.
Tatizo ni kwamba Koboko huwa wanarefuka sana kumzidi king Cobra.
Akiwa mrefu na mnene kuliko na Cobra kesi inakuwa ngumu kwake.
 
Hata paka inaweza mdhibiti black mamba.
 
Huyo nyoka ni territorial (nyoka mwenye kumiliki eneo) na hapo huo msitu ndio territory (himaya) yake hivyo jiandae kwa mapambano makali. Na asikudanganye mtu kuwa eti koboko ni wapole, la hasha!
 
Ili uwe na uhakika wa usalama nafikiri ni busara kuwa na uhakika na idadi ya hao viumbe humo kwa msitu ili ukishaanzisha vita nao uwe na uhakika wa kuwamaliza wote.
Na njia nzuri nafikiri ni kushirikisha mali asili au wazoefu na kazi hizo.

Pili kwa ajili ya tahadhali pandikiza bundi, nguchiro, pia kuna mdau amechangia kuhusu kuchemsha mayai nafikiri ni njia nzuri pia.

NB: sina experience yeyote na haya maviumbe zaidi ya kuya study kupitia documentary.
 
Tafuta wazee wa kisukuma hiyo ni KESI ndogo sana.

Ubaya wa huyu Nyoka
Anauwezo wa kusikia kishindo kilicho umbali wa km 2+ Tena kishindo hicho kikiwa kinaelekea kwake huwa anajiandaa kwa hatari yoyote

Mpaka ufike maeneo aliyopo yeye Tayali alishajiandaa kwa hatari KITAMBO anakuangalia unakujaje

Huyu Nyoka ni hatari zaidi endapo atakua ametaga/analalia mayayi yake atoke asiyakute basi kila kinachokuja mbele yake yeye huwa anaamini ndiyo adui yake.

Huyu Nyoka huwa anasimama na ana uwezo wa kukukimbiza huku kasimama sawa na wewe.

Hana mahala pengine pa kugonga zaidi ya kichwani na ndiyo maana mwamba anaweza kupukutisha ngo'ombe Kama speed ya light maana sumu ikitua kichwani ndiyo nitolee hiyo ana sumu Kali sana.
 
lengo langu nataka kuanzia mradi wa ufugaji nyuki mkuu na kama ujuavyo lazima uende kuangalia kila mara
 
Hata kama unavyosema ndio suluhidho huyo king cobra naye si yatakua yaleyale tu.
 
Means hapo nikienda na helement anipati sio mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi mwenyewe ni msukuma wa geita hapa mkuu na mstu upo msalala. shida ni mazingira ya kupambnanae hayaruhusu maana ni mstuni kuna mawe na miti mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…