Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

paka achana nae kabisa mkuu hapo mwenyewe mkifungiwa chumba kimoja huwezi hata kumuua amini maneno yangu
Paka usiweze kumuua huo ni uongo, sema binadamu tuna ubinadamu tu na uwoga sana ila ukizamilia paka sio wakusema hawezi kuuliwa na binadamu mwenye kilo 60Kg na paka kilo sijui 6Kg.

Mimi binafsi hata kumminya paka inanikereketa akilini so suala la Human psychology n Humanity ila nikiondoa huo ubinadamu paka hawezi survive shambolic langu kamwe
 
Paka usiweze kumuua huo ni uongo, sema binadamu tuna ubinadamu tu na uwoga sana ila ukizamilia paka sio wakusema hawezi kuuliwa na binadamu mwenye kilo 60Kg na paka kilo sijui 6K...
Paka unamuuwa vizuri tu kulingana na mazingira ulipo wala haikupi shida. ila kama mazingira ya finye yaani haipo sehemu nyingine ya kukimbilia yeye atakujeruhi sana maana huwa anaruka ovyo sana na akikutana na adui makucha yake sio poa
 
Yes atakujeruhi hata mara 1000 lakini hana siraha ya kukua wewe though kuna wajinga wasio tumia common sense wanaamini eti paka anaweza kumuua mbwa that idiot thinking.

Paka Ana speed, Agility ila mwisho wasiku size, vikucha na vimeno vidogo sana binadamu Ana njia 1000 za kuua paka
 
Sidhani kama paka ana uwezo huo kwa black mamba, labda kawe katoto.
Paka ni mnyama hatari kabisa, paka yupo kasi kuliko black mamba, paka ana uwezo wa kuua king cobra, usimchukulie poa, ingia hata youtube uone paka anavyorarua kwa kucha nyoka hadi anamuua.

Black mamba au king cobra hawafui dafu kwa paka.
 
8 mkuu tulipima wakati wa sensa
Shamba la ekari nane ni rahisi kuhamisha nyoka.
Tafuta oil chafu lita 20, igawanye kwenye lita tatu tatu kisha nenda ukamwage kwenye milango ya mapango ya mawe na miti kama ipo.
Pia mwaga kwenye maeneo ambayo unahisi nyoka wanaweza kuishi au kupita tu.
Nyoka wote watahama shambani.
Hawapendi harufu hiyo.
Dose unaweza kurudia baada ya miezi mitatu.
Lakini shamba lako kama lina harakati nyingi za kibinadamu koboko watahama wenyewe watabaki Cobra na nyoka wengine.
Koboko hapendi kuishi karibu na binadamu kwakuwa hawapendi kelele.
 
Chomeni mipira ya tairi za magari chomeni mfululizo siku 7 hawatakaa tena huo msitu watahama kabisa..
Tena mkidondosha na oil chafu ndio kabisa

Tahadhari ukiwasha moto wa tairi muondoke kabisa eneo hilo maana mmeanzisha vita vya 3 vya dunia na hao nyoka..
Hata harufu ya mafuta ya mdalasini au ammonia inawakera sana nyoka, watakimbia lazima.
 
Kiss of Death...
Huyo Koboko anafika ukubwa huu?
Screenshot_20240326-234204.jpg
 
Paka unamuuwa vizuri tu kulingana na mazingira ulipo wala haikupi shida. ila kama mazingira ya finye yaani haipo sehemu nyingine ya kukimbilia yeye atakujeruhi sana maana huwa anaruka ovyo sana na akikutana na adui makucha yake sio poa
paka unaweza ukamuua ma yeye piah anaweza akakuua vizur tu lkn piah paka ni rahis kumuua nyoka koboko sababu n paka anauwezo wa kuona mkubwa sna...nyoka akijaribu kushambulia kwa kasi paka anamuona kama unavoona slow motion ya vidio ndo maana anamzaba makofi na makucha mpaka anaded😂🤣😅😆😁😄
 
Mkuu,

Huyo King Cobra unayeshauri apelekwe kwa ajili ya kula hao Black Mamba, mtoa mada anampata wapi?.

Unajua kwamba King Cobra sio native snake in Africa?, wako bara Asia huko. Jisomee vizuri tena.

Nafikiri baadhi ya story za Koboko hapa JF zimekuchukua kweli kweli kiasi ambacho kimekufanya uamini kila unachoambiwa kuhusu Koboko bila kufanya utafiti ili ujue mtemi wake ni nani.
 
Mkuu,

Wataalam wa hawa reptiles wanasema King Cobra ndo the longest venomous snake in the world. Wapo wanaofika hadi futi 18 au zaidi.
King Cobra chakula chake rasmi ni nyoka wenzake.
Na nyoka wote wenye sumu kali wanaliwa vizuri tu na Cobra.
Tatizo ni kwamba Koboko huwa wanarefuka sana kumzidi king Cobra.
Akiwa mrefu na mnene kuliko na Cobra kesi inakuwa ngumu kwake.
 
Mkuu,

Huyo King Cobra unayeshauri apelekwe kwa ajili ya kula hao Black Mamba, mtoa mada anampata watu?.

Unajua kwamba King Cobra sio native snake in Africa?, wako bara Asia huko. Jisomee vizuri tena.
Wapo labda wawe wanatofautiana lakini kama ndo hawa weusi wanaurusha mate na kuwa bapa kichwani wapo maeneo mengi
 
paka unaweza ukamuua ma yeye piah anaweza akakuua vizur tu lkn piah paka ni rahis kumuua nyoka koboko sababu n paka anauwezo wa kuona mkubwa sna...nyoka akijaribu kushambulia kwa kasi paka anamuona kama unavoona slow motion ya vidio ndo maana anamzaba makofi na makucha mpaka anaded😂🤣😅😆😁😄
Umewahi shuhudia paka kaaua mtu Kiongozi?
 
Back
Top Bottom