Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

Shamba la ekari nane ni rahisi kuhamisha nyoka.
Tafuta oil chafu lita 20, igawanye kwenye lita tatu tatu kisha nenda ukamwage kwenye milango ya mapango ya mawe na miti kama ip
Mkuu nilijua kuya mwaga mwaga ovyo tu mle poli? sasa ikitokea kwenye pango unalo mwaga ndo makazi yake hii nitaepukaje?
 
Mkuu,

Wataalam wa hawa reptiles wanasema King Cobra ndo the longest venomous snake in the world. Wapo wanaofika hadi futi 18 au zaidi.
Sawa, lakini king Cobra wengi wanaopatikana kwenye ukanda wetu wana maumbile madogo kulinganisha na Koboko.
 
Wapo labda wawe wanatofautiana lakini kama ndo hawa weusi wanaurusha mate na kuwa bapa kichwani wapo maeneo mengi
Mkuu,

Watu wanachanganya mambo, sio kila Cobra anayeonekana ni King Cobra. King Cobra wako bara Asia tu, na kitaalam kabisa katika unyumbulisho wao kisayansi wanasema wale sio true cobra.

Tunachopaswa kujua kuna zaidi ya aina 38 ya Cobra duniani. Na sio Cobra wote hutema mate/spitting, wako aina ya species wanazofanya hivyo mfano ni Mocambique Spitting Cobra.

Sikatai uwepo wa Cobra huko shambani kwako, ila amini hao sio King Cobra, ni jamii zingine tu za Cobra/Naja
 
Sawa, lakini king Cobra wengi wanaopatikana kwenye ukanda wetu wana maumbile madogo kulinganisha na Koboko.
Hao sio King Cobra. Zingatia hilo neno KING mkuu.

Hiyo jamii ni native specie ya Asia huko. Huku kwetu Afrika Cobra wako wengi ila wa aina nyingine.
 
Nafikiri baadhi ya story za Koboko hapa JF zimekuchukua kweli kweli kiasi ambacho kimekufanya uamini kila unachoambiwa kuhusu Koboko bila kufanya utafiti ili ujue mtemi wake ni nani.

Kuna kipindi huwa naangalia kwenye channel ya Natio Geographic Wild kinaitwa Snake in the City,kwa jinsi Black Mamba anavyoongelewa mule kama nyoka hatari zaidi barani Afrika,lakini wewe kwenye comments zako ni kama una mu underate nashindwa kuelewa,je ni kweli hata wale jamaa wa snake in the city ambao wana elimu kuhusu nyoka ni wana mu overate?
 
paka achana nae kabisa mkuu hapo mwenyewe mkifungiwa chumba kimoja huwezi hata kumuua amini maneno yangu
Sikatai paka ana uwezo mkubwa, lakini kwenye zile documentary za black mamba, moja ya ishara mbaya kuwa amevamia makazi ni pamoja na kukuta paka amekufa au kapotea kabisa hajulikani alipo.
 
Paka ni mnyama hatari kabisa, paka yupo kasi kuliko black mamba, paka ana uwezo wa kuua king cobra, usimchukulie poa, ingia hata youtube uone paka anavyorarua kwa kucha nyoka hadi anamuua.

Black mamba au king cobra hawafui dafu kwa paka.
Mkuu kwa paka sina uhakika, fuatilia kile kipindi cha snake city.
Mara nyingi sana paka anakuwa target kwa hayo madude. Black mamba ni mkubwa na ana kasi kwa paka ni ngoma nzito.

Nipe ushahidi kulingana na experience yako niendelee kujifunza mkuu.
 
Huyo mdudu ni hatari mno! Wasiliana na wataalamu wa maliasili waje wakusaidie kuwatoa hao wadudu
 
Naona unataka kuleta ubishi usiokuwa na maana. Lakini pia haujajua ni kwanini huyu alipewa jina la King Cobra.
King Cobra hayupo Africa mkuu, yapo India. Africa kuna aina nyingne kabisa za cobra kama mozambique na spitting cobra.
 
Koboko kinachomfanya awe tishio ni Kasi yake,wingi wa sumu na uwezo wa kugonga zaidi ya mara Moja!!
Yuko boomslang huyu NYoka ni mpole ana rangi nzuri unaweza ukamshika hata taarabu akikubusu tu hakunaga dawa
 
Black mamba 'koboko' mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.

Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi za futari mdomoni.
hahahaaaaa
 
Koboko mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.

Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi na uji wa ramadhani
Sasa black mamba na king cobra wamekutana lini porini wakati ni nyoka wanaopatikana mabara mawili tofauti.
 
Black mamba 'koboko' mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.

Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi za futari mdomoni.
Mi naona afuge kicheche ndo kiboko ya nyoka akiwemo na huyo black mamba. Atatafunwa bila shida na kupotea uso wa dunia.
 
Back
Top Bottom