Kwenye mzozo wa Palestine na Israel, wawili hawa, nani alikuwa na malengo muhimu dhidi ya mwenzake? Je, yametimia?

Bado unaota?..

Hakuna inchi inaitwa Palestine na haitokuwepo.

Walichofanya wapalestina ni kupambana kuwekwa kwenye kumbukumbu za dunia kwa kulikuwepo jamii za wapalestina hapo Gaza city waliokuwa chini ya magaidi hamas na Israel akaja kuwakomboa.

Angalia kasi anayotumia muIsrael kujenga makazi mapya hapo ukanda wa gaza ni ya 5G, kwa ajir ya waisrael siyo wapalestina.

Suala la Wapalestina kurudi kuishi kama awali halitowezekana, wameishapoteza haki yao ya kuishi kwa amani hapo Gaza na kule ukanda wa magharibi
 
-wameishi kwa miaka 600
-wakaondoshwa kwa miaka 600
-wakarudi baada ya miaka 600
-wakaanza "kuwapora'(?)ardhi wapalestina
Unakielewa ulichokiandika kweli au ni upenzi utazamaji tu?
Ondoa MIHEMKO kwanza...... Then read my comment between the lines

Ukishindwa kuelewa haya yatakua ni matatizo yako binafsi ya uelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…