Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hapana ni wanazodanganywa sunday schoolHizi stori mnazodanganyana huko madrasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni wanazodanganywa sunday schoolHizi stori mnazodanganyana huko madrasa
Bado unaota?..Wananchi wengi wa Magharibi haswa vijana washagundua propaganda iliyokua inatumiwa na hio "Israel"
Ambayo ni Gaslighting
Pindua simulizi juu chini, pretend wewe ndio victim....hio propaganda haiwezi fanya kazi tena wakati huu wa internet na social media, pia vijana bahati nzuri hawasikilizi tena BBC, DW, au CNN, collapse ya U.S kama superpower na ujio wa BRICS itakayounganisha global South yote ndio mwisho wa Israel, Palestine itarudi kwa wapalestina
Ondoa MIHEMKO kwanza...... Then read my comment between the lines-wameishi kwa miaka 600
-wakaondoshwa kwa miaka 600
-wakarudi baada ya miaka 600
-wakaanza "kuwapora'(?)ardhi wapalestina
Unakielewa ulichokiandika kweli au ni upenzi utazamaji tu?
Nimeyaona "machangamoto" yako.Rest in moto wa milele!Ondoa MIHEMKO kwanza...... Then read my comment between the lines
Ukishindwa kuelewa haya yatakua ni matatizo yako binafsi ya uelewa