Kwenye mzozo wa Palestine na Israel, wawili hawa, nani alikuwa na malengo muhimu dhidi ya mwenzake? Je, yametimia?

Bulelaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
1,342
Reaction score
3,247
Kuna maswali mengi sana kuhusu mgogoro wa nchi hii ya Israel na mamlaka ya bandari ya Palestine

Palestine ndiyo wa kwanza kuvamia Israel, bila shaka hawa ndio walikuwa na malengo mahususi dhidi ya Israel

Wapalestine wa Tandale, wao wanakwambia, baada ya Wazayuni kujibu mapigo, eti inachukuliwa Israel ndiye mwenye kuweka lengo kwa Wapalestine ilihali mzayuni alichokozwa

sasa nauliza kiungwana kabisa, ukiacha upenzi wa mimi sjui ni suni, siwezi kuwatupa wasuni wenzangu, sjui mimi ni Mwisrael masalia, siwezi kuwatupa Waisrael wenzangu

Embu tuseme ukweli, Gaza na Israel, kati yao, ni nani alikuwa na lengo mahususi dhidi ya mwenzake, na je, lengo hilo limefikiwa kwa kiwango gani na au lengo limeleta majuto?
 
Kiufupi tu lengo la palestina halijafaulu hata 1% matokeo yake malengo yamerudi nyuma -85% maana myahudi alivyoibomoa bomoa gaza na wapalestina wamekufa na myahudi kaua wapalestina wengi kama kuku na kaiteka gaza yote
 
Ni hasara kubwa sana kwa Palestine waliyoipata

Kutoka kuwa na lengo la kuibomoa Israel mpaka kwenye kutekwa sehemu yao yote???
 
Kwanini usisome historia ya Palestine? Ipo wazi, soma tu halafu uje uwaombe radhi wa Palestine, na sijui hata mashuleni mnafundishwa nini, kama wewe ni mtanzania inafaa ufahamu struggle anayopitia Palestine na sisi tuliipitia bahati mbayo hawakufanikiwa kupata uhuru wao mpaka leo sisi tukapata

Huu mgogoro hauna mahusiano na dini kama mazombi wengi humu JF wanavyoamini

Unaona nchi kama Marekani, Canada na Australia? Kwasasa majority ya raia wake ni wazungu, na wamekaa mda mrefu kiasa kwamba wanaamini wao ni wenyeji, lakini kulikua na watu pale kabla yao?

Unajua kiliwatokea nini? Waliuliwa karibu wote, na ardhi yao ikagaiwa kwa wahamiaji au settler kutoka ulaya

Unapoondoa wakazi asili wa ardhi au eneo ili wewe ukae, kunaitwa ethnic cleansing

Kinachojaribiwa Palestine ni ethnic cleansing, wazungu wanaodai kuwa na asili ya kiyahudi walishindikana ulaya, wazungu wakaona hili balaa walipeleke Palestine baada ya kuanguka kwa ottoman empire, wakati 1945, 95% ya Palestine ilikua ni wapelestina , 5% ya wayahudi waliokua wakiishi kwa amani Palestine....

Neno Israel lisikuchanganye, ni marketing tu, waasisi wa zionism wote ni Atheists, they didn't give a shit about religions.... kwanini msisome historia???
 
So far mateso ya wapalestine yamesikika na kuonekana zaidi sasa tofauti na hapo awali tena mpaka kwenye mataifa ya magharibi wananchi wao wameona vilio vya wapalestine.

Tambua ya kuwa wamagharibi ndio wafadhili wakubwa wa uharamia wa Israel.

Naona zaidi mwangaza kuhusu taifa la wapalestine tofauti na giza zito zaidi la ulimwenguni wanalolitoka madhira wanayo pitia Palestine kwa miaka zaidi ya 70 yanaonekana dhairi shairi kwa kiasi kikubwa sasa na ulimwengu mzima.

Israel inajipaka matope kwa mikono yake mwenyewe.
 
So far mateso ya wapalestine yamesikika na kuonekana zaidi sasa tofauti na hapo awali tena mpaka kwenye mataifa ya magharibi wananchi wao wameona vilio vya wapalestine.

Tambua ya kuwa wamagharibi ndio wafadhili wakubwa wa uharamia wa Israel.

Naona zaidi mwangaza kuhusu taifa la wapalestine tofauti na giza zito zaidi la ulimwenguni wanalolitoka madhira wanayo pitia Palestine kwa miaka zaidi ya 70 yanaonekana dhairi dhairi kwa kiasi kikubwa sasa na ulimwengu mzima.

Israel inajipaka matope kwa mikono yake mwenyewe.
Wananchi wengi wa Magharibi haswa vijana washagundua propaganda iliyokua inatumiwa na hio "Israel"
Ambayo ni Gaslighting
Pindua simulizi juu chini, pretend wewe ndio victim....hio propaganda haiwezi fanya kazi tena wakati huu wa internet na social media, pia vijana bahati nzuri hawasikilizi tena BBC, DW, au CNN, collapse ya U.S kama superpower na ujio wa BRICS itakayounganisha global South yote ndio mwisho wa Israel, Palestine itarudi kwa wapalestina
 
Kiufupi tu lengo la palestina halijafaulu hata 1% matokeo yake malengo yamerudi nyuma -85% maana myahudi alivyoibomoa bomoa gaza na wapalestina wamekufa na myahudi kaua wapalestina wengi kama kuku na kaiteka gaza yote
Leo hii wamefanikiwa kuonyesha kuwa israel si lolote si chochote bila usa how do ypu fight more than 6 month with poor equiped gazans non state actor pia the mighty invisibility ya idf kwisha wameshindwa baharini kusupport mizigo na meli zao against houth , muiran ametest mitambo ukiitaka kuipiga israel nani na kutokea wapi watamdefend na wamejipanga zaidi wametest na kunua weakness za idf na pia idf is weaker than perceived kushindwa kuanzisha mtiti vs hizbullah.
 
Kila mtu na fikra zake na akili zake we kama unaona matatizo yaliabzia tarehe 7th October, nakushauri wachana na thread za namna hi.

Ki ujumla Hamasi kafanikiwa sana msifatilie hizo story za kuvunja majumba, na genocide hapo Israel kashinda kwenye akili za wajunga, lakini duniani Israel kapoteza sifa ya kujidai, ni wao tu kwenye Middle East wana democracy kama walivyo kuwa wana sifiwa na channels za US na Western 😄

Genocide walio fanya itabaki kwenye history, na hakuna kwenye history haki hairudi kwa wenye haki, au muwaji hauliwi, hio wasubiri tu waisrael kuona Genocide na Majumba yao kuvunjws yatakuwa ni zaidi walio fanya Gaza, time will tell.
 
Kwanini usisome historia ya Palestine? Ipo wazi, soma tu halafu uje uwaombe radhi wa Palestine, na sijui hata mashuleni mnafundishwa nini, kama wewe ni mtanzania inafaa ufahamu struggle anayopitia Palestine na sisi tuliipitia bahati mbayo hawakufanikiwa kupata uhuru wao mpaka leo sisi tukapata

Huu mgogoro hauna mahusiano na dini kama mazombi wengi humu JF wanavyoamini

Unaona nchi kama Marekani, Canada na Australia? Kwasasa majority ya raia wake ni wazungu, na wamekaa mda mrefu kiasa kwamba wanaamini wao ni wenyeji, lakini kulikua na watu pale kabla yao?

Unajua kiliwatokea nini? Waliuliwa karibu wote, na ardhi yao ikagaiwa kwa wahamiaji au settler kutoka ulaya

Unapoondoa wakazi asili wa ardhi au eneo ili wewe ukae, kunaitwa ethnic cleansing

Kinachojaribiwa Palestine ni ethnic cleansing, wazungu wanaodai kuwa na asili ya kiyahudi walishindikana ulaya, wazungu wakaona hili balaa walipeleke Palestine baada ya kuanguka kwa ottoman empire, wakati 1945, 95% ya Palestine ilikua ni wapelestina , 5% ya wayahudi waliokua wakiishi kwa amani Palestine....

Neno Israel lisikuchanganye, ni marketing tu, waasisi wa zionism wote ni Atheists, they didn't give a shit about religions.... kwanini msisome historia???
Hakuna struggle yoyote wanayopitia hao magaidi ya kipalestina.
Washughulikiwe bila kupepesa macho
 
Kila mtu na fikra zake na akili zake we kama unaona matatizo yaliabzia tarehe 7th October, nakushauri wachana na thread za namna hi.

Ki ujumla Hamasi kafanikiwa sana msifatilie hizo story za kuvunja majumba, na genocide hapo Israel kashinda kwenye akili za wajunga, lakini duniani Israel kapoteza sifa ya kujidai, ni wao tu kwenye Middle East wana democracy kama walivyo kuwa wana sifiwa na channels za US na Western [emoji1]

Genocide walio fanya itabaki kwenye history, na hakuna kwenye history haki hairudi kwa wenye haki, au muwaji hauliwi, hio wasubiri tu waisrael kuona Genocide na Majumba yao kuvunjws yatakuwa ni zaidi walio fanya Gaza, time will tell.
Hizi stori mnazodanganyana huko madrasa
 
Kuna maswali mengi sana kuhusu mgogoro wa nchi hii ya Israel na mamlaka ya bandari ya Palestine

Palestine ndiyo wa kwanza kuvamia Israel, bila shaka hawa ndio walikuwa na malengo mahususi dhidi ya Israel

Wapalestine wa Tandale, wao wanakwambia, baada ya Wazayuni kujibu mapigo, eti inachukuliwa Israel ndiye mwenye kuweka lengo kwa Wapalestine ilihali mzayuni alichokozwa

sasa nauliza kiungwana kabisa, ukiacha upenzi wa mimi sjui ni suni, siwezi kuwatupa wasuni wenzangu, sjui mimi ni Mwisrael masalia, siwezi kuwatupa Waisrael wenzangu

Embu tuseme ukweli, Gaza na Israel, kati yao, ni nani alikuwa na lengo mahususi dhidi ya mwenzake, na je, lengo hilo limefikiwa kwa kiwango gani na au lengo limeleta majuto?
Mkuu umeandika ni as if ni kama Vile Burundi imeivamia Tanzania kisha Tanzania ikajibu mapigo........ NOPE haipo hivyo

Ipo hivi Wapestina wameishi pale kwa miaka zaidi ya miaka 600, halafu wakaletwa Waisrael ambao kwa mujibu wa imani yao walikua wakazi wa eneo lile zaidi ya miaka 600 iliopita kisha wakaanza kuwapora kibabe aridhi Wapalestina hadi mwishowe wakawafungia kwenye gereza huru linaloitwa Gaza na kuwakalia kimabavu West Bank

Binadamu ni kiumbe wa kuhama hama na civilization ya mipaka ya nchi ilipo kukuta ndio unakua kwako hapo
Na ndio maana wahindi wekundi hawadai USA wala waafrika hatudai Misri Algeria Morocco warudi arabia sababu asili ya afrika ni watu weusi

Unapaswa kujua haswa wanachopigania wapalestina ni nini hataka kama watashindwa vita ila wanapigania wanacho amini ni haki yao
 
Attachments

  • 5FF830C1-FC31-4CDE-9547-33C857798D0A.jpeg
    5FF830C1-FC31-4CDE-9547-33C857798D0A.jpeg
    74.4 KB · Views: 6
Mkuu umeandika ni as if ni kama Vile Burundi imeivamia Tanzania kisha Tanzania ikajibu mapigo........ NOPE haipo hivyo

Ipo hivi Wapestina wameishi pale kwa miaka zaidi ya miaka 600, halafu wakaletwa Waisrael ambao kwa mujibu wa imani yao walikua wakazi wa eneo lile zaidi ya miaka 600 iliopita kisha wakaanza kuwapora kibabe aridhi Wapalestina hadi mwishowe wakawafungia kwenye gereza huru linaloitwa Gaza na kuwakalia kimabavu West Bank

Binadamu ni kiumbe wa kuhama hama na civilization ya mipaka ya nchi ilipo kukuta ndio unakua kwako hapo
Na ndio maana wahindi wekundi hawadai USA wala waafrika hatudai Misri Algeria Morocco warudi arabia sababu asili ya afrika ni watu weusi

Unapaswa kujua haswa wanachopigania wapalestina ni nini hataka kama watashindwa vita ila wanapigania wanacho amini ni haki yao
-wameishi kwa miaka 600
-wakaondoshwa kwa miaka 600
-wakarudi baada ya miaka 600
-wakaanza "kuwapora'(?)ardhi wapalestina
Unakielewa ulichokiandika kweli au ni upenzi utazamaji tu?
 
Leo hii wamefanikiwa kuonyesha kuwa israel si lolote si chochote bila usa how do ypu fight more than 6 month with poor equiped gazans non state actor pia the mighty invisibility ya idf kwisha wameshindwa baharini kusupport mizigo na meli zao against houth , muiran ametest mitambo ukiitaka kuipiga israel nani na kutokea wapi watamdefend na wamejipanga zaidi wametest na kunua weakness za idf na pia idf is weaker than perceived kushindwa kuanzisha mtiti vs hizbullah.
Kwani hamas na hezbollah ni lolote bila Iran
 
Back
Top Bottom