Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Kuna maswali mengi sana kuhusu mgogoro wa nchi hii ya Israel na mamlaka ya bandari ya Palestine
Palestine ndiyo wa kwanza kuvamia Israel, bila shaka hawa ndio walikuwa na malengo mahususi dhidi ya Israel
Wapalestine wa Tandale, wao wanakwambia, baada ya Wazayuni kujibu mapigo, eti inachukuliwa Israel ndiye mwenye kuweka lengo kwa Wapalestine ilihali mzayuni alichokozwa
sasa nauliza kiungwana kabisa, ukiacha upenzi wa mimi sjui ni suni, siwezi kuwatupa wasuni wenzangu, sjui mimi ni Mwisrael masalia, siwezi kuwatupa Waisrael wenzangu
Embu tuseme ukweli, Gaza na Israel, kati yao, ni nani alikuwa na lengo mahususi dhidi ya mwenzake, na je, lengo hilo limefikiwa kwa kiwango gani na au lengo limeleta majuto?