BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Kwakuwa sisi tunamioyo ya chumaHilo kosa ni DOUBLE STANDARD, jinsia flani ikifanya msamaha unahusika, na jinsia flani ikifanya halistahili msamaha.
Kwa mwanaume akisaliti ndoa, kosa linastahiki msamaha. Ila kwa mwanamke akisaliti ndoa, kosa halistahiki msamaha.
Hakika, mngekua hamna mioyo ya chuma basi ndoa 85% zingalikua chali, ila sio mioyo ya chuma pekee na watoto mara nyingi ndio wana ugundi gundi wa kushkizia ndoa baada ya nyuzi zote kukatika.Kwakuwa sisi tunamioyo ya chuma
Kwa jinsi navyompenda mke wangu naamini ntakuwa tayari kumsamehe.Hilo kosa ni DOUBLE STANDARD, jinsia flani ikifanya msamaha unahusika, na jinsia flani ikifanya halistahili msamaha.
Kwa mwanaume akisaliti ndoa, kosa linastahiki msamaha. Ila kwa mwanamke akisaliti ndoa, kosa halistahiki msamaha.
Samehe saba Mara sabini.Kusamehe ni rahisi tatizo linakuja mtu unaposhindwa kusahau.
Mimi naweza nikamsamehe leo ila bakcup itakayonijia miezi au miaka mitatu mbele nafukuza mtu Kama simjui kabisa.
Unaweza ila kwa sharti moja sahau yaliyopita, ila ukianza kukumbuka utaanza kutengeneza picha jinsi jamaa alivyokua anamkunja kunja my wife wako😁😁😁 hapo ndipo pabaya😀😀Kwa jinsi navyompenda mke wangu naamini ntakuwa tayari kumsamehe.
Hii wanaweza malaika wa mbinguni na yesu mwenyewe sio sisi wanadamu mkuu.Samehe saba Mara sabini.
Ila kumbuka hakuna mwenye ticket ya kuzini mkuuHakika, mngekua hamna mioyo ya chuma basi ndoa 85% zingalikua chali, ila sio mioyo ya chuma pekee na watoto mara nyingi ndio wana ugundi gundi wa kushkizia ndoa baada ya nyuzi zote kukatika.
Sijahalalisha bali nimetoa maoni kama hali halisi ilivyo katika jamii zetu.Ila kumbuka hakuna mwenye ticket ya kuzini mkuu
Lazima umuulize kilichompelekea kutoka nje ya ndoa unaweza kuta umekaa na mke miaka 5 bila kusikia wala kuhisi unasalitiwa ghafla unamfumania kwa nini usimpe second chance.Unamsamehe ili ugundue nini kipya?
1. Mke wako
2. Achapwe
3. Tena kwako!
Bado unauliza msamaha tena!
Kwa mimi namba moja tu inatosha kumkimbiza mapema sana, akikaidi naingia barabarani kusubiria wauza mkaa gunia 3.
Napenda kujifunza kutoka kwenu especially kwa wale walioko kwenye ndoa na wale ambao hali kama hii ishawatokea.
Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba kukatokea ugomvi uliofanya jamii nzima ijue unagongewa unaweza kumsamehe mwenza wako na kuendelea kuishi naye.
Na kama hilo linawezakana je, ni kosa gani kwenye ndoa lisilostahili msamaha?