Kwenye ndoa kosa la usaliti linastahili msamaha?

Kwenye ndoa kosa la usaliti linastahili msamaha?

Sasa mbona mnaoa wakiwa sio bikra?kama kusamehe kugumu?una ushahidi kabisa huyu kashatumika hana bikra na bado mnaoa ni mule mule haina tofauti
 
Napenda kujifunza kutoka kwenu especially kwa wale walioko kwenye ndoa na wale ambao hali kama hii ishawatokea.

Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba kukatokea ugomvi uliofanya jamii nzima ijue unagongewa unaweza kumsamehe mwenza wako na kuendelea kuishi naye.

Na kama hilo linawezakana je, ni kosa gani kwenye ndoa lisilostahili msamaha?

Hakuna kusamehe. Anayesamehe ni 'bwege' tu. Wala hauhitaji hata ugomvi, ni kuachia ngazi. Kwani si wapo wengi tu.

 
Back
Top Bottom