Kwenye ndoa kosa la usaliti linastahili msamaha?

Kwenye ndoa kosa la usaliti linastahili msamaha?

Unatakiwa ufahamu kwanza:
"HAKUNA BAHATI MBAYA KATIKA USALITI"

Kwa maana hiyo kosa limefanyika kwa kukusudia 100%, sasa kusamehe au kutosamehe ni maamuzi yako.

Binafsi: Siwezi samehe usaliti
Yeah, mtu anayesaliti anakuwa na intention ya tendo kwa asilimia 100%
 
Kuna makosa mengi tu yanaweza kupelekea ndoa kuvunjika. Na hapo suala la kusamehe au kutokusamehe ni pana mno, sio kwenye kuzini peke yake.

Zinaa ni kosa pekee hata wale wanaofuata Biblia iliyoasisi ndoa inatoa nafasi ya talaka..yaani ndoa inaweza kupata baraka za kuvunjwa iwapo uzinzi umebainika kati ya wanandoa.

Kuhusu kusamehe ukimfumania mwenza wako sio jambo la kujibu juu juu. Kuna watu waliapa hawawezi kusamehe, ilipowatokea walisamehe, na kundi la pili walisisitiza watasamehe lakini mambo yalipokua mambo walitengana na wenza wao.

Kuna vigezo vingi sana vinavyopelekea maamuzi ya kusamehe au kutokusamehe na hiyo inatofautiana kati ya mtu na mtu.
 
Kuna makosa mengi tu yanaweza kupelekea ndoa kuvunjika. Na hapo suala la kusamehe au kutokusamehe ni pana mno, sio kwenye kuzini peke yake.

Zinaa ni kosa pekee hata wale wanaofuata Biblia iliyoasisi ndoa inatoa nafasi ya talaka..yaani ndoa inaweza kupata baraka za kuvunjwa iwapo uzinzi umebainika kati ya wanandoa.

Kuhusu kusamehe ukimfumania mwenza wako sio jambo la kujibu juu juu. Kuna watu waliapa hawawezi kusamehe, ilipowatokea walisamehe, na kundi la pili walisisitiza watasamehe lakini mambo yalipokua mambo walitengana na wenza wao.

Kuna vigezo vingi sana vinavyopelekea maamuzi ya kusamehe au kutokusame na hiyo inatofautiana kati ya mtu na mtu.
Umelidadavua kiukomavu sana mkuu!
 
Mkuu haya maandiko nimeyakubali na kuyaelewa sina swali tena.
 
Kwa ufupi sana,Ukitaka kujua thamani ya kusamehe au kusamehewa uwe umetenda kosa ndiyo utajua......
 
Kosa la Usaliti halina msamaha kwenye ndoa hata uone harufu tu ya usaliti.
NOTE:
Hii ni kwa mwanamke lakini mwanaume anasamehewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza kuwa umemsingizia
Mashahidi watano wa nini wote hao, kwamba nikiwakuta mwenyewe wanakuwa wako darasani?
 
Utamsamehe sawa ila mtaishi maisha ya kinafiki tuu.
Bora kila mtu achukue 50 zake maisha yasonge
 
Unamsamehe lakini usiendelee kuishi nae
Napenda kujifunza kutoka kwenu especially kwa wale walioko kwenye ndoa na wale ambao hali kama hii ishawatokea.

Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba kukatokea ugomvi uliofanya jamii nzima ijue unagongewa unaweza kumsamehe mwenza wako na kuendelea kuishi naye.

Na kama hilo linawezakana je, ni kosa gani kwenye ndoa lisilostahili msamaha?
 
Kusamehe ni rahisi tatizo linakuja mtu unaposhindwa kusahau.

Mimi naweza nikamsamehe leo ila bakcup itakayonijia miezi au miaka mitatu mbele nafukuza mtu Kama simjui kabisa.
Mhhhhhh
 
mimi kama mwanaume hili jambo haliwezi kusameheka katu.sehem namopita mimi aje kidume kingine kipitishe dushe lake aise hapana mjadala zaid ya kufunga ukurasa na kuanza mwingine.
 
Asee ni ngumu sana kumeza ila kama una kifua usaliti unaweza kusamehe, lakini hii ifanyike endapo ametambua, amejuta na hayuko tayari kurudi njia hyo (kazi ni kwako kujihakikishia hilo). Nachojua, mwanamke anaetoshelezwa kikamilifu kihisia na kimwili sio rahis kumvulia chupi mtu mwngne. Mkeo/mpenzi akicheat jichunguze wew kwanza kuna mahali ulipungua.

Kwenu wanawake, msikie hili na muelewe. Kinachofanya wanugu tuwe wagumu kusamehe usaliti ni mambo mawili.

Kwanza mwanamke anasaliti na moyo, ni maumivu kuendelea kuwa na mtu aliehamisha moyo kwingne.

Pili na kubwa zaidi ni the fact kwamba "sex" sisi kwetu ni tendo very personal. Kwa my woman naempenda nafeel kuwa namiliki mwili wake na "pussy" yake so kitendo cha mwanaume mwngne kupitisha kombole lake kwny mali zangu hapo siwezi hata kuimagine iwe kusamehe. NI NGUMU.
 
Back
Top Bottom