Kwenye ndoa kuchapiwa kunasababishwa na wanaume wenyewe


Binafsisha hili andiko
 
Hapana haja,mume wangu ana shoo kali balaa Hadi huwa natamani niwaite majirani wake washuhudie burdan,...yule imebaki history tu
sasa sii unialike mie nije nishuhudie. tena mie sishuhudie bure. kila show nalipa million nione mnavyopelekeana moto
 
Usemayo Ni Yana ukweli kwa kiasi fulani ila kina muda wake zetu huwa wanafeli pakubwa Sana.

Mind you,mkishapata mtoto ujue mwanamke atahamisha attention Yake yote kwa mtoto,atajali Sana kuhusu mtoto kuliko anavyokujali wewe.
Kule kupetiana na kubebishana kutapungua kwa Kasi Sana.Utaanza kufuata maji ya kuoga mwenyewe tofauti na awali ambapo mke alikuwa anakufanyia kila kitu kuanzia kwenye kukuandalia maji ya kuoga( yenye vugu vugu),kukutengea nguo za kuvaa, kukuandalia chakula mixer mengineyo mengi.

Sasa hapo ndipo mwanaume atakapolazimika kutafuta mchepuko angalau awe anapata huduma anazozimiss kwa mkewe.
 
Nakubaliana na ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…