Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
kabisaNakubaliana na wewe[emoji1666]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaNakubaliana na wewe[emoji1666]
mkishaolewa nyie mnatoa sana mbususu alafu watamu kweli hasa ale ukute mke wa mtu amegundua kuwa mume ana mcheps, uno kama lote au sio Hannah"Kuna mtu aliwahi kuniambia hakuna wanawake rahisi Kama wake za watu"
tamuu hilo balaaaaHilo linaitwa uno la hasira🤣🤣🤣
Kila kitu huwa kina hatua, baya huwa haliwi tu baya bali huwa linanza na zuri lenye kasoro, maana yake ni kwamba ndoa mbaya huwa ni matokeo ya ndoa nzuri yenye kasoro.
kuchapiwa kwa sisi wanaume huwa kunaanza na hatua zifuatazo.
Miaka miwili ya wanandoa kuwa pamoja, huwa ni yenye furaha sana, hususani kwa wanandoa walio oana baada ya kipindi kifupi cha uchumba.
Kipindi hiki, kila mtu huwa anaona haja ya kumpa furaha mwenziwe, kipindi hiki wanandoa huwa wanakumbuka vilivyo vile viapo vya kanisa au mbele ya ustadh.
Hiki kipindi, wanandoa huwa wanajaribu sana kuficha madhaifu yao, kwani ni kipindi ambacho ndio matokeo ya ndoa (mtoto)hutarajiwa.
Hivyo hakuna mtu huwa anataka kuweka ndoa hatarini, kwani macho ya wanajamii na wazazi huwa bado yapo karibu na wanandoa hawa.
Miaka mitatu ya ndoa, hapa wanandoa wengi huwa wanakuwa washapata mtoto, sasa hapa ndio kimbembe huwa kinaanza, kwanza mwanaume kawaida yetu huwa hatuwezi kukaa na mwanamke mmoja kwa zaidi ya miaka 2.
Sasa hapa michepuko huanza kutafutwa, kama kuna ma x, basi huanza kupangwa ili tupashe viporo vyetu kwa raha zetu.
Michepuko inaposhamiri huwa tunaanza kuwaona wanawake zetu kuwa ni wamama wa kulea tu familia, wapishi, madobi na walinzi wa nyumba zetu tu.
Hapa sasa hata sex, huwa haipewi kimbaumbele, sababu kwa kiasi kikubwa haja zetu huwa zinakatwa na michepuko yetu huko nje.
Wake zetu wakiomba haki yao, huwa tunapiga kimoja cha kuondoa tu lawama then tunalala.
Ila kikawaida mwanamke awapo kwenye umri kuanzia 30 na kuendelea hamu ya kufanya mapenzi huwa inakuwa kubwa kuliko akiwa kwenye 20's.
Sasa unapomgusa tu mara moja kwa wiki mkeo, kisa wewe unae mchepuko wa kumalizia haja zako, unataka mkeo nani amtimizie haja yake?
Kwenye hali hii, wanawake wengi huwa wanakaa kimya sana, ni wachache ndio huwa na ujasiri wa kumwambia mumewe kuwa hajamridhisha.
Nadhani ni kutokana na hii hali inayoitwa mila na desturi za kiafrika, mtoto wa kike haruhusiwi kudai haki ya ndoa, na hata akipewa asiporidhika avunge tu.
Hali ikifikia huku basi ujue ni suala la muda tu mkeo anaanza kuwa mama huruma kwa wauza genge.
Kuna mtu aliwahi kunambia hakuna wanawake rahisi kama wake za watu, nadhani alimaanisha hichi nilichoandika hapa.
Suluhisho ni moja tu kataa ndoa, sababu hutakuwa na uhuru wa kula mbususu nyingi kama asili yetu wanaume. Ukijaribu kula nyingi mkeo lazima uchapiwe tu.
Hasira za mkizi furaha ya mvuvi😂tamuu hilo balaaaa
mhm unaongea full of experience, basi tubariki story hiyo kule kwa rikiboyHasira za mkizi furaha ya mvuvi😂
Ndo ukweli...wanaliwa balaa"Kuna mtu aliwahi kuniambia hakuna wanawake rahisi Kama wake za watu"
Nashangaa single mom wanavyotukanagwa wangejua hayo Mambo wanayofanya wake za watu Hadi shetani mwenyewe anachukua noticeNdo ukweli...wanaliwa balaa
Tushazoea hizi issues...watajijuaNashangaa single mom wanavyotukanagwa wangejua hayo Mambo wanayofanya wake za watu Hadi shetani mwenyewe anachukua notice
Nina mume mpya siku hizi ananibless Sana Sina stress🤣🤣🤣so Sina Cha kusimuliamhm unaongea full of experience, basi tubariki story hiyo kule kwa rikiboy
KabisaTushazoea hizi issues...watajijua
yule boss hapashi kiporo kweli weweNina mume mpya siku hizi ananibless Sana Sina stress🤣🤣🤣so Sina Cha kusimulia
Hapana haja,mume wangu ana shoo kali balaa Hadi huwa natamani niwaite majirani wake washuhudie burdan,...yule imebaki history tuyule boss hapashi kiporo kweli wewe
sasa sii unialike mie nije nishuhudie. tena mie sishuhudie bure. kila show nalipa million nione mnavyopelekeana motoHapana haja,mume wangu ana shoo kali balaa Hadi huwa natamani niwaite majirani wake washuhudie burdan,...yule imebaki history tu
Utakosa uvumilivu niamini!sasa sii unialike mie nije nishuhudie. tena mie sishuhudie bure. kila show nalipa million nione mnavyopelekeana moto
ah sasa nikikosa uvumilivu sii tunagonga threesome moja matataUtakosa uvumilivu niamini!
Nakubaliana na wwKila kitu huwa kina hatua, baya huwa haliwi tu baya bali huwa linanza na zuri lenye kasoro, maana yake ni kwamba ndoa mbaya huwa ni matokeo ya ndoa nzuri yenye kasoro.