Kwenye ndoa kuchapiwa kunasababishwa na wanaume wenyewe

Kwenye ndoa kuchapiwa kunasababishwa na wanaume wenyewe

Usemayo Ni Yana ukweli kwa kiasi fulani ila kina muda wake zetu huwa wanafeli pakubwa Sana.

Mind you,mkishapata mtoto ujue mwanamke atahamisha attention Yake yote kwa mtoto,atajali Sana kuhusu mtoto kuliko anavyokujali wewe.
Kule kupetiana na kubebishana kutapungua kwa Kasi Sana.Utaanza kufuata maji ya kuoga mwenyewe tofauti na awali ambapo mke alikuwa anakufanyia kila kitu kuanzia kwenye kukuandalia maji ya kuoga( yenye vugu vugu),kukutengea nguo za kuvaa, kukuandalia chakula mixer mengineyo mengi.

Sasa hapo ndipo mwanaume atakapolazimika kutafuta mchepuko angalau awe anapata huduma anazozimiss kwa mkewe.
kweli kabisa yaani hawa wakishapata cheti cha ndoa wanabweteka ata kabla ya kupata mtoto. dawa yao hawa ni kataa ndoa tuu
 
Suluhisho ni moja tu kataa ndoa, sababu hutakuwa na uhuru wa kula mbususu nyingi kama asili yetu wanaume. Ukijaribu kula nyingi mkeo lazima uchapiwe tu.
hii ndo para kivuruge, imeharibu uzuri wa hii article nzuri!!
 
sasa nimelipa illion aalfu unanirekodia mwe matumizi mabaya ya hela hayo. sii bora buku 50 ninunue bundle nicheki online tuu au kule telegram
🤣🤣🤣🤣🤣Aah we nae huna jema
 
Nakazia hapo kataa ndoa, ntarudi kuchangia zaidi baadae
Kila kitu huwa kina hatua, baya huwa haliwi tu baya bali huwa linanza na zuri lenye kasoro, maana yake ni kwamba ndoa mbaya huwa ni matokeo ya ndoa nzuri yenye kasoro.

kuchapiwa kwa sisi wanaume huwa kunaanza na hatua zifuatazo.

Miaka miwili ya wanandoa kuwa pamoja, huwa ni yenye furaha sana, hususani kwa wanandoa walio oana baada ya kipindi kifupi cha uchumba.

Kipindi hiki, kila mtu huwa anaona haja ya kumpa furaha mwenziwe, kipindi hiki wanandoa huwa wanakumbuka vilivyo vile viapo vya kanisa au mbele ya ustadh.

Hiki kipindi, wanandoa huwa wanajaribu sana kuficha madhaifu yao, kwani ni kipindi ambacho ndio matokeo ya ndoa (mtoto)hutarajiwa.

Hivyo hakuna mtu huwa anataka kuweka ndoa hatarini, kwani macho ya wanajamii na wazazi huwa bado yapo karibu na wanandoa hawa.

Miaka mitatu ya ndoa, hapa wanandoa wengi huwa wanakuwa washapata mtoto, sasa hapa ndio kimbembe huwa kinaanza, kwanza mwanaume kawaida yetu huwa hatuwezi kukaa na mwanamke mmoja kwa zaidi ya miaka 2.

Sasa hapa michepuko huanza kutafutwa, kama kuna ma x, basi huanza kupangwa ili tupashe viporo vyetu kwa raha zetu.

Michepuko inaposhamiri huwa tunaanza kuwaona wanawake zetu kuwa ni wamama wa kulea tu familia, wapishi, madobi na walinzi wa nyumba zetu tu.

Hapa sasa hata sex, huwa haipewi kimbaumbele, sababu kwa kiasi kikubwa haja zetu huwa zinakatwa na michepuko yetu huko nje.

Wake zetu wakiomba haki yao, huwa tunapiga kimoja cha kuondoa tu lawama then tunalala.

Ila kikawaida mwanamke awapo kwenye umri kuanzia 30 na kuendelea hamu ya kufanya mapenzi huwa inakuwa kubwa kuliko akiwa kwenye 20's.

Sasa unapomgusa tu mara moja kwa wiki mkeo, kisa wewe unae mchepuko wa kumalizia haja zako, unataka mkeo nani amtimizie haja yake?

Kwenye hali hii, wanawake wengi huwa wanakaa kimya sana, ni wachache ndio huwa na ujasiri wa kumwambia mumewe kuwa hajamridhisha.

Nadhani ni kutokana na hii hali inayoitwa mila na desturi za kiafrika, mtoto wa kike haruhusiwi kudai haki ya ndoa, na hata akipewa asiporidhika avunge tu.

Hali ikifikia huku basi ujue ni suala la muda tu mkeo anaanza kuwa mama huruma kwa wauza genge.

Kuna mtu aliwahi kunambia hakuna wanawake rahisi kama wake za watu, nadhani alimaanisha hichi nilichoandika hapa.

Suluhisho ni moja tu kataa ndoa, sababu hutakuwa na uhuru wa kula mbususu nyingi kama asili yetu wanaume. Ukijaribu kula nyingi mkeo lazima uchapiwe tu.
 
Back
Top Bottom